Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kiukweli Tafadhali sheria naomba itungwe wale watu wote ambao wanatumia simu hizo hapo juu wawe wahujumu uchumi maana tumechoka sana kuziona hizo simu zikiua watu na kulipuka hovyo hovyo.
Jana tu kuna Jobless mmoja ambaye ni kabila moja kutoka Kanda ya ziwa amelipukiwa na simu moja hapo juu aisee nusu apoteze maisha ila uzuri tulimuwahisha hospitali ambapo alipigwa makofi kutokana na matumizi ya hizo simu.
Chonde chonde sheria iwekwe ili tuokoe kizazi cha watanzania wanakwisha kutokana na matumizi ya tecno,infinix na halotel.