Sheikh wangu tuanze na hili kwanza "uislamu upi kwa dalili unaomlazimisha mwanaume kufuga ndevu" alafu twende kwengine sasa.
Aya au Khadith japo dhaifu tu.
Maalim. Kwa ujuzi nilionao, hoja uliyoitoa majibu yake yanapatinaka kwa sehemu mbili.
Kwanza ktk somo la historian ya sheria ktk Uislam yaani (Taarikh Tashree lil Islam). Kwa maana ya somo la historia ya sheria za Uislam,
Ktk somo hilo, limefafanuliwa kutoka kwa mienendo ya waumini wema wa karne tatu za kwanza za uislam. Ktk somo hilo inaeleza mgawanyiko wa sheria hizo ktk mafungu manne.
1. Sheria yenyewe (Quran)
2. Ufafanuzi wa sheria ( hadithi).
3. Tamaduni wa jamii zilizozoeleka ambazo hazipingani na sheria kuu (Quran na Hadithi) ambazo huitwa Mila/ada.
Kanuni/Miongozi wa Viongozi wema (Fikhi).
Suala la kufuga ndevu ktk somo la Sheria linaangukia ktk kundi la 3 na la 4 kwa maana ya Ada au mila za jamii Fulani na Fikhi.
Ktk Uislam adah au milah yyt ya jamii inaweza kutungiwa sheria au kanuni (Fikhi) na kutekeleza sheria hiyo inakuwa ni lazima maadam tu adda hiyo haiendi kinyume na Sheria Kuu (Aya na Hadithi).
kanuni hutungwa wakati wowote na viongozi. Sherti kiomgozi huyo lazima awe muadilifu. (Khulafai Rashideen)./kwa mizani ya Uislam.
kutokana nguvu ya mila/adah kati ya utawala kwa dhana ya Uislam na utawala kwa dhana ya kikafiri ni juu yako kuamini jamii ili ni ya kihuni na kiasherati kati ya mataifa yanayofata dhana ya kutoamini uwepo wa Mungu (Sekula) na Yale wanaomini uwepo wa Mungu ( Emirates Islam)