Halafu ktk kutoka taarifa kuna kitu kinaitwa kubalance taarifa.Kwamba wewe muislamu koko unaweza kua unaujua usilamu kuliko watu wa mashariki ya kati? Wewe si umekaririshwa tu hapo magomeni na shehe kipozeo unajifanya unaujua uislamu kuliko waliouanzisha na kuutunga?
Hebu pitia saudia kwenye jiwe jeusi uone wanavyofanyaTaliban ni kikundi cha wahuni tu kama wahuni wengine na wavuta bangi wengine, wao walichopabahatika kupata ni silaha na madaraka tu basi, kazi yao ni kuchafua dini za watu, Uislamu hauna sheria za kijinga na kipumbavu labda kama wapumbavu na wajinga wamekubali kulishwa matango pori kwa mikono ya kutokwenda kusoma.
NI Baada ya wao kuruhusu World Trade Center kubolewa na Magaidi wa Alkaeda wasingeruhusu hakuna mtu angeenda kwenye hiyo stone age countryMbona mipango ya kujenga mashule na mabarabara upo baada ya wamarekani kuyabomoa....
Nimemchukia nani abuu?Punguza chuki
Wanawekeza kwenye ndevu, dunia ina masihara🤣🤣😂😂🤌🤏Ndio shida ya Islamist badala ya kujenga mabarabara na Shule wao hung'ang'ania mambo ya kipuuzi
Hebu fikiria hao watu wakiweza kupata Silaha za Kinuklia.Wanawekeza kwenye ndevu, dunia ina masihara🤣🤣😂😂🤌🤏
Unapozungumzia Uislamu na Taliban unazungumzia vitu viwili tofauti jamaa.Kwamba wewe muislamu koko unaweza kua unaujua usilamu kuliko watu wa mashariki ya kati? Wewe si umekaririshwa tu hapo magomeni na shehe kipozeo unajifanya unaujua uislamu kuliko waliouanzisha na kuutunga?
Kijiji kitawaka motoHebu fikiria hao watu wakiweza kupata Silaha za Kinuklia.
sio waarabu wale ni wapashtuni......waarabu ni 2% ya taifa zima la waafughanistan....na uislam ni asilimia 98..Uko kwenye Quran. Labda wewe hujui kuisoma.
Ukumbuke Quran imeandikwa kiarabu, wale ni waarabu wanaielewa kuliko nyie waarabu kuja.
Hivyo wanachokifundisha Taliban ni 100% islam, purely islamic. Hakuna wanapokosea.
Sheikh wangu tuanze na hili kwanza "uislamu upi kwa dalili unaomlazimisha mwanaume kufuga ndevu" alafu twende kwengine sasa.Mbona mipango ya kujenga mashule na mabarabara upo baada ya wamarekani kuyabomoa.....
Punguza chuki na mihemko.
Ndefu ni alama muhimu sana ktk dhana ya utawala. Utawala wowote unaoegemea ukiristo ulitaka watumishi wa serikali kinyoa ndevu, watalaban ambao mfumo wao unaegemea uislam wanataka wanaume wote wasinyoe ndevu.
Na sababu kubwa ya tofauti hizi ni kwa mfumo wa Uislam huchanganya kati ya kaisari na mungu.
Wakati ukristo unataka ya kaisari mwachie kaisari na ya mungu mwachie mungu
Swadakta akhui.Taliban ni kikundi cha wahuni tu kama wahuni wengine na wavuta bangi wengine, wao walichopabahatika kupata ni silaha na madaraka tu basi, kazi yao ni kuchafua dini za watu, Uislamu hauna sheria za kijinga na kipumbavu labda kama wapumbavu na wajinga wamekubali kulishwa matango pori kwa mikono ya kutokwenda kusoma.
Huo ndiio uislamu safiNimekua Muislam muumini kwa takribani miaka 40 sasa sijawahipo kusikia wala kusoma Aya ya Quran au Khadith ya Mtukifu wa Daraja, Bwana Mtume Mohammad S.A.W ikilazimisha jambo lolote bali kupinga kulazimisha.
Huu uislamu wao wanautoa wapi?
Ugwee...Wadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume.
Hawaruhusiwi kunyoa ndevu.
Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
Taliban ndio waislamu halisiUnapozungumzia Uislamu na Taliban unazungumzia vitu viwili tofauti jamaa.
Uislamu siyop vitendo vinavyofanywa na wanaojiita Waislamu, Uislamu ni kufuata yale ambayo Uislamu umefundisha kulingana na Qurani na Sunna lakni siyo kulingana na msharti yanayotolewa na Wahuni wa Taliban , Uislamu haujatufudnisha kulazimishana katika dini , eti kulazimishana kufuga ndevu, huo Ujinga hata Mtume hakuwahi kuufanya, labda kama wamekuja na Uislamu mpya.
Ila kifupi zaidi Uislamu haukutungwa na hao unaowadhani, habari za Kipoozeo hasihusiki na uzi huu.
Ndio tumewauliza hapo,wenyewe wamesema ni haramu kwa mwanaume kunyoa ndevu. Kwa msisiitizo No dume nyoaling nduvuWaulize wao basi wakupe japo Khadith dhaifu inayosibitisha madai Yao...
Maalim. Kwa ujuzi nilionao, hoja uliyoitoa majibu yake yanapatinaka kwa sehemu mbili.Sheikh wangu tuanze na hili kwanza "uislamu upi kwa dalili unaomlazimisha mwanaume kufuga ndevu" alafu twende kwengine sasa.
Aya au Khadith japo dhaifu tu.
Eh wana beef hawa