Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Mkuu niwahishie sheria ya tatu ubongo wangu naona unapoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu niwahishie sheria ya tatu ubongo wangu naona unapoa
Nashukuru mkuu ngoja niwahisheria zote aliziweka huku. jitambuesasa.blogspot.com kazitafute.
Uhuru wa kuchagua ni njozi ya uongo isiyo na uhalisia wa kina.Nimeielewa hii sheria ya akili na ulimwengu ihusuyo uhuru wa kuchagua.
Nakubaliana na hoja hii kwa asilimia zote kwa mba mtu anao uwezo wakutumia akili yake kufanya chochote iwe chema ama la.
Lakini sijakubaliana na Kiranga kusema hakuna Mungu. Ingawa mada hii ameikubali lakini naamini hakumsoma vizuri mleta mada aliposema "haijalishi unahali gani unapaswa kushukuru" yaani kwa vyovyote ulivyo uielekeze akili yako kushukuru. Sasa hapa unamshukuru nani kama sio Mungu?
Ninakushukuru sana mleta mada Apollo japo ni ya muda lakini bado tunaendelea kujifunza.
Hapana sivyo unavyodhani mkuu. Kabla ya mtu kuzaliwa hana akili na pia hayupo ulimwenguni. Kumbuka mada unaelezea kuhusu kanuni ya akili na ulimwengu.Uhuru wa kuchagua ni njozi ya uongo isiyo na uhalisia wa kina.
Wewe ulichagua uzaliwe wapi? Na wazazi gani? Wenye elimu gani? Wa kabila gani? Wenye utajiri gani? Wa dini gani? Wenye genes za aina gani? Zinazokupa tabia gani? Zinazokufanya uwe na afya gani?
Haya ni mambo ambayo yanaathiri maisha yako yote yanayofuata kwa kiasi kikubwa sana.
Na kwa jinsi hii ndugu yangu unataka kusema kuna ambae anakuchagulia lipi liwe kwako na lipi lisiwe. Ninani huyo?Uhuru wa kuchagua ni njozi ya uongo isiyo na uhalisia wa kina.
Wewe ulichagua uzaliwe wapi? Na wazazi gani? Wenye elimu gani? Wa kabila gani? Wenye utajiri gani? Wa dini gani? Wenye genes za aina gani? Zinazokupa tabia gani? Zinazokufanya uwe na afya gani?
Haya ni mambo ambayo yanaathiri maisha yako yote yanayofuata kwa kiasi kikubwa sana.
Wewe haujatoka fb mkuu?Nafikiri nyie ndio watu tunao wahitaji
Sio hao nyumbu wanaotoka fb na kuja kutuandia mada zisizo na maana
Kama unajua Kiingereza, soma hii makala uone habari zenu za uhuru wa kuchagua zilivyojaa uongo.Hapana sivyo unavyodhani mkuu. Kabla ya mtu kuzaliwa hana akili na pia hayupo ulimwenguni. Kumbuka mada unaelezea kuhusu kanuni ya akili na ulimwengu.
Huwezi kuwa na uchaguzi wowote kabla ya ukomavu wa akili na kabla haujafika ulimwenguni.
Hauna uhuru wowote kabla ya ukomavu wa akili. Ndipo inapokuja hatua za mtu kuwa ulimwenguni mimba utoto ujana uzee kwenye ujana ndipo palipo na uhuru na uweza wa kuchagua.nikama vile wewe ulivyo kua mdogo ulivyokua ukiamini Mungu lakini ulipokuwa kijana kwa sababu zako ukachagua kutokumwamini .
Wapi nimesema hilo? Unapataje wazo hilo? Una ushahidi gani uliokupelekea kupata msingi wa swali hilo? Umefikafikaje kwenye kufikiria kwamba naweza kuwa nafikiria hivyo?Na kwa jinsi hii ndugu yangu unataka kusema kuna ambae anakuchagulia lipi liwe kwako na lipi lisiwe. Ninani huyo?
mkala nimeisoma mkuu lakini ama haileweki au haiendani na tunachojadili hapa.Wapi nimesema hilo? Unapataje wazo hilo? Una ushahidi gani uliokupelekea kupata msingi wa swali hilo? Umefikafikaje kwenye kufikiria kwamba naweza kuwa nafikiria hivyo?
Umesoma makala ya Scientific American niliyokuwekea hapo juu?
Mimi nakwenda kwa kuangalia peer reviewed research papers, si kujigongagonga gizani tu.
Sawa.mkala nimeisoma mkuu lakini ama haileweki au haiendani na tunachojadili hapa.
umesema uhuru wa kuchagua ni kama njozi isio na uhgakika na ukahoji kama mtu ana uhuru wa kuchagua angechagua kuzaliwa kwenye maisha ayatakayo,. sasa kwa vile hakuna uhuru wa kuchagu kwa mujibu wa maelezo yako ndio nami nikasema basi yupo atuchaguliaye ndio nikataka kujua ninani?
Kwa hio makosa ni kusema ninani anaetuchagulia aina na hatima ya maisha yetu. Badala ya kusema "ninani" ingesemejana " ninini"Sawa.
Unalazimisha hoja kwamba kwa kuwa hatuna uhuru wa kuchagua, kuna anayetuchagulia.
Hii kwenye logic inaitwa "logical non sequitur".
Logical non sequitur ni kisa la kimantiki la kuunganisha mambo ambayo hayana uhusiano.
Mathalani.
Inawezekana nyumbani kwangu kuna muembe mkubwa. Muembe una majani mengi. Majira haya yana upepo mkali.
Nikuanka asu uhi na kukuta jani la muembe liko mlangoni kwangu, nikiuliza "nani kaweka jani hiki haoa mlangoni mwangu?", swali hilo litakuwa na kimosa la kinantiki.
Inawezekana jani halijawekwa na yeyote.
Limewekwa na upepo.
Sasa jwa nini unaukuza swaki la "nani" sehemu ya swali ka "nini"?
Huoni kuwa ukianza kuuliza swali kwa "nani" umeanza kujijibu kwa kutumia "logical non sequitur" ya kuunganisha "nani" sehemu ambayi "nini" ingeweza kuwa swali zuri zaidi?
Kwa hio makosa ni kusema ninani anaetuchagulia aina na hatima ya maisha yetu. Badala ya kusema "ninani" ingesemejana " ninini"
Umesema pia jani la mwembe halijawekwa na "yoyote" kwenye mlango bali limewekwa na "chochote"
Kwa hio yoyote inasimama badala nani
Na chochote kinasimama badala ya nini
Upepo ndio umefanya jani la mwembe kuwa mlangoni.
Kwa hio upepo ndio sababu.
Matumizi ya akili yetu hayako huru ndio maana hatupo vile tungependa. Hakuna yoyote anaetufanya tuwe hivi
Bali kuna chochote ndio kisababishi.
Ndio nini hiko mkuu?
Mbona mimi nimejaribu kufungua wamesema mpaka niwe invited kwenye hiyo jitambue?sheria zote aliziweka huku. jitambuesasa.blogspot.com kazitafute.
Hata mimi inataka accountMbona mimi nimejaribu kufungua wamesema mpaka niwe invited kwenye hiyo jitambue?