Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@kirangamkuu Kiranga huwa nafurahishwa na uwepo wako katika maada nyingi za hapa jukwaani kwakuwa ww ni mchango mkubwa hasa katika hili jukwaa, na pia nashukuru umeitikia tag yangu kwako
mkuu Kiranga natumaini utakua umeandika kitu cha muhimu sana hapo juu lakini tatizo langu ni lugha tu
tafadhari mkuu wangu jaribu kuandika kwa kiswahili au kingereza chepesi ili watu kama wakina mie wafaidike na mchango wako
karibu kwa mchango mkuu.....
.made in mby city.
Ujue sehenu nyingine, kuhamasisha jamii ijiongeze ili iendelee, ni lazima uonekane mwenye dhambi.@kiranga
Una dhamb sana we jamaa [emoji2][emoji2]
AhahaUjue sehenu nyingine, kuhamasisha jamii ijiongeze ili iendelee, ni lazima uonekane mwenye dhambi.
Ni lazima ukubali kusulubiwa ili uokoe jamii.
Ila jamii ikishaendela ndipo itakapokuja kukaa na kusema "dah, kumbe yule Kiranga alikuwa katuacha mbali hivi? Yale maneno aliyoandika 2015 ndiyo tunaanza kuyaelewa vizuri 2030 sasa?"
Naomba mods watunze tu archives ili vizazi vijavyo vikianza kufanya "digital archaeology" kufukua servers za JF, kuangalia Watanzania wa zamani enzi hizo karne ya 21 walikuwa wanasema nini, waone kuna wachache walikuwa na upeo uliovuka the usual pitter patter ya goobledygook glib.
NImeishia ya pili, tatu na nne sijaziona plz if posible nisaidie kuzisoma. Link hazifunguki mkuuAsanteni sana. Mada nyingine ya tatu na nne tayari. Tushirikiane katika maswali na kuelekezana zaidi.
Asante
I got you brotherUjue sehenu nyingine, kuhamasisha jamii ijiongeze ili iendelee, ni lazima uonekane mwenye dhambi.
Ni lazima ukubali kusulubiwa ili uokoe jamii.
Ila jamii ikishaendela ndipo itakapokuja kukaa na kusema "dah, kumbe yule Kiranga alikuwa katuacha mbali hivi? Yale maneno aliyoandika 2015 ndiyo tunaanza kuyaelewa vizuri 2030 sasa?"
Naomba mods watunze tu archives ili vizazi vijavyo vikianza kufanya "digital archaeology" kufukua servers za JF, kuangalia Watanzania wa zamani enzi hizo karne ya 21 walikuwa wanasema nini, waone kuna wachache walikuwa na upeo uliovuka the usual pitter patter ya goobledygook glib.
Nmejaribu ku log in but nimeambiwa am not invitedAsante sana ndugu yangu, Topic ya Tatu tayari, nasubiria mods waipitie. Lakini kama unataka kuisoma hivi sasa soma hapa. Muda si mrefu baada ya mods kuipitia itakuwa Public hapa JF.
Haujawahi kuniangusha masterKama mtu nisiyeamini katika kuwapo kwa mungu na nguvu zozote za super natural, nimefurahi kuona uzi huu unaongelea mtu mwenyewe kuwa ndiye nahodha wa kufikiri kwake.
Hili ni jambo la msingi kabisa.
Mara nyingi tunasingizia vitu ambavyo havipo, kama mungu, shetani, uchawi, malaika etc.
Baada ya kusema hilo, nataka pia kutambua kwamba, hata bila ya kuwepo supernatural powers, tuna uhuru wa kuchagua mpaka kina fulani tu. Kuna mambo mengine hatuna uhuru wa kuchagua.
Mathalani mtu ana ugonjwa unaotokana na genes unaomfanya awe na matatizo fulani ya akili. Huyu hana uhuru wa kuchagua ukifikia kiwango ugonjwa wake utakapohusika.
Kwa hivyo, uhuru wa kuchagua una mipaka yake iliyo ndani ya udhalili wa maisha ya kibinadamu.
Asante Sana umejibu vizuri hojaHapana sivyo unavyodhani mkuu. Kabla ya mtu kuzaliwa hana akili na pia hayupo ulimwenguni. Kumbuka mada unaelezea kuhusu kanuni ya akili na ulimwengu.
Huwezi kuwa na uchaguzi wowote kabla ya ukomavu wa akili na kabla haujafika ulimwenguni.
Hauna uhuru wowote kabla ya ukomavu wa akili. Ndipo inapokuja hatua za mtu kuwa ulimwenguni mimba utoto ujana uzee kwenye ujana ndipo palipo na uhuru na uweza wa kuchagua.nikama vile wewe ulivyo kua mdogo ulivyokua ukiamini Mungu lakini ulipokuwa kijana kwa sababu zako ukachagua kutokumwamini .
HahaaNafikiri nyie ndio watu tunao wahitaji
Sio hao nyumbu wanaotoka fb na kuja kutuandia mada zisizo na maana
Wewe jamaa bado upo Jf kweli " huu ujengaji wako wa hoja simchezo nimefuatilia post zako mbili tu nimegundus kuwa wewe ni extraordinary ... namuheshimu sana kiranga kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja alionao ila the way unavyo mpa challenge ya maswali imenishtua nakunifanya nivutiwe nawewe " nitamke wazi tu ni kwamba nimevutiwa na uwasilishwaji wa hoja zako .... ni disasterKwa hio makosa ni kusema ninani anaetuchagulia aina na hatima ya maisha yetu. Badala ya kusema "ninani" ingesemejana " ninini"
Umesema pia jani la mwembe halijawekwa na "yoyote" kwenye mlango bali limewekwa na "chochote"
Kwa hio yoyote inasimama badala nani
Na chochote kinasimama badala ya nini
Upepo ndio umefanya jani la mwembe kuwa mlangoni.
Kwa hio upepo ndio sababu.
Matumizi ya akili yetu hayako huru ndio maana hatupo vile tungependa. Hakuna yoyote anaetufanya tuwe hivi
Bali kuna chochote ndio kisababishi.
Ndio nini hiko mkuu?
Topic itakuwa imehamishiwa jukwaa la watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ..ngoja nikaifuate hukoNmejaribu ku log in but nimeambiwa am not invited