Sheria Kuu Kumi za Ulimwengu na Akili - Sheria ya Pili (Uhuru wa Fikra)

@kiranga

Una dhamb sana we jamaa [emoji2][emoji2]
 
@kiranga

Una dhamb sana we jamaa [emoji2][emoji2]
Ujue sehenu nyingine, kuhamasisha jamii ijiongeze ili iendelee, ni lazima uonekane mwenye dhambi.

Ni lazima ukubali kusulubiwa ili uokoe jamii.

Ila jamii ikishaendela ndipo itakapokuja kukaa na kusema "dah, kumbe yule Kiranga alikuwa katuacha mbali hivi? Yale maneno aliyoandika 2015 ndiyo tunaanza kuyaelewa vizuri 2030 sasa?"

Naomba mods watunze tu archives ili vizazi vijavyo vikianza kufanya "digital archaeology" kufukua servers za JF, kuangalia Watanzania wa zamani enzi hizo karne ya 21 walikuwa wanasema nini, waone kuna wachache walikuwa na upeo uliovuka the usual pitter patter ya goobledygook glib.
 
Ahaha

Sawasawa nipokee new york sunday mkuu

Unionyeshe na la kusali ...
Maana sina mwenyeji
 
Asanteni sana. Mada nyingine ya tatu na nne tayari. Tushirikiane katika maswali na kuelekezana zaidi.
Asante
NImeishia ya pili, tatu na nne sijaziona plz if posible nisaidie kuzisoma. Link hazifunguki mkuu
 
I got you brother
 
Haujawahi kuniangusha master

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Sana umejibu vizuri hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa bado upo Jf kweli " huu ujengaji wako wa hoja simchezo nimefuatilia post zako mbili tu nimegundus kuwa wewe ni extraordinary ... namuheshimu sana kiranga kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja alionao ila the way unavyo mpa challenge ya maswali imenishtua nakunifanya nivutiwe nawewe " nitamke wazi tu ni kwamba nimevutiwa na uwasilishwaji wa hoja zako .... ni disaster

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…