Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Uzalishaji ndani ya mgodi wa Bulyanhulu KMCL umesimama kabisa kuanzia jioni ya leo tar.01.08.12 kufuatia wafanyakazi kutaka mpaka wapatiwe ufafanuzi kuhusu mustakabali wa fedha zao walizochangia NSSF na PPF hali hiyo imeanza jana baada kikao kati ya mwakilishi kutoka SSRA na wafanyakazi kuvunjika hali hii imepelekea mwajiri kusimamisha uzalishajikwa saa 48 mpaka kieweke.Wakati huo huo makamu wa rais wa BARRICK duniani ameingia nchini kwa mazunguzo na serikali kuhusiana na sheria hii.
ngoja tuone lazima
wataachia serikali legelege hata hawajui wanafanya nini ...mkuuu wa mkoa
wapi na wapi na waalim..nashindwa hata kuelewa nani anafanya
nini.......yaani wamejenga majumba kwa faida ya mishahara yetu lkini
wanataka kutudhulumu
Ila ni kwa nini wagome hawa wa MIGODI PEKEE? wafanya kazi wengine wako wapi? Hii nchi mageuzi yatacheleweshwa na WAFANYAKAZI, haiwezekani ishu siriazi kama hii, wanagoma wafanya kazi wa MIGODI PEKEE,
mazingira ya kazi ya migodi ni magumu sana.
Afu huwa wagumu kweli kuelewa sijui kwa nini, huchukui hata sh.100 ya miner bure na wana solidarity.
Si rahisi mtu kuwa 'miner' wa mgodi wa underground kwa miaka 25.
Labda wengine wanaona wanaweza kaa kazini kwa miaka angalau 30.
Ila ni kwa nini wagome hawa wa MIGODI PEKEE? wafanya kazi wengine wako wapi? Hii nchi mageuzi yatacheleweshwa na WAFANYAKAZI, haiwezekani ishu siriazi kama hii, wanagoma wafanya kazi wa MIGODI PEKEE,
Napendekeza na sie wengine tugome kuanzia kiwanda cha mchina urafiki, madereva wa mabasi, malori nk. mgomo uanzie Ubungo terminal. pendekezeni tarehe wakuu