Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika.
Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao?
😀😀nawaona magoalkipa wa timu za Simba na Yanga wakiruhusu kona za kutosha