Anakaa na mpira, utafikiri ni wa kwake... 😂Simba na Yanga tena .....
Humjui Golie anaitwa Chalamanda .......😂🙌
Wewe unaangalia NBC league 🙌🙌🙌🙌Kuna yule John Noble, halafu kulikuaga na Deogratius Munishi
Kadi ya njano ni mtazamo wa refa wakati hii itakuwa ni Moja kwa moja.Wameamua wenyewe wenye mpira wao.
Kwangu haijakaa vizuri kabisa.
Sheria zilizopo zinajitosheleza kabisa kabisa.
Maboresho haya ni katafuta vikao na kulipana posho tu..
kadi ya njano ilikuwa inajitosheleza kabisa.
Wakubwa wameteleza.
Wadhamini wa Mpira duniani wanalalamika kuwa Mpira hauchezwi zaidi ya dakika 60 kati ya dakika 90 za mchezo. Kwa ivo wamelalamika kuwa fedha wanazowekeza kwenye matangazo ni kama wanatapeliwa.Natabiri hii sheria itadumu kwa muda mchache na kufutwa baada ya malalamiko kuzidi
Mda wa subWadhamini wa Mpira duniani wanalalamika kuwa Mpira hauchezwi zaidi ya dakika 60 kati ya dakika 90 za mchezo. Kwa ivo wamelalamika kuwa fedha wanazowekeza kwenye matangazo ni kama wanatapeliwa.
Wanatengeneza soft game kweliWameamua wenyewe wenye mpira wao.
Kwangu haijakaa vizuri kabisa.
Sheria zilizopo zinajitosheleza kabisa kabisa.
Maboresho haya ni katafuta vikao na kulipana posho tu..
kadi ya njano ilikuwa inajitosheleza kabisa.
Wakubwa wameteleza.