Sheria mpya yapelekea CNN, BBC na Bloomberg kusitisha kuripoti Urusi

Sheria mpya yapelekea CNN, BBC na Bloomberg kusitisha kuripoti Urusi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
1646470441624.png

Baada ya Bunge kupitisha Sheria inayoruhusu Mamlaka kuwafunga hadi miaka 15 watu walioshtakiwa kwa kusambaza makusudi taarifa feki, Mashirika mbalimbali yametangaza kusitisha kuripoti Urusi.

BBC, CNN, Bloomberg, Shirika la Habari la Canada (CBC) pamoja na Redio Canada zimesema zitaacha kurusha Matangazo kwa muda ili kulinda Wanahabari kutokana na Sheria hiyo.

Aidha, Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Russia imesema inapiga marufuku Facebook, ikijibu kile kilichosemwa kuwa ni uminywaji wa upatikanaji wa Vyombo vya Habari vya Urusi kwenye Mtandao huo.
====

Global news media said they were suspending reporting in Russia to protect their journalists after a new law that threatened jail terms of up to 15 years for spreading "fake news".

Britain's BBC said Friday it had temporarily halted reporting in Russia, and by the end of the day, the Canadian Broadcasting Company and Bloomberg News said their journalists were also stopping work. CNN and CBS News said they would stop broadcasting in Russia, and other outlets removed Russian-based journalists' bylines as they assessed the situation.

With Russia's attack on Ukraine drawing almost universal condemnation, Moscow has sought to hit back in the information war. Its communications regulator, Roskomnadzor, blocked Meta Platform Inc's Facebook, citing 26 cases of discrimination against Russian media. TASS news agency reported that Russia also restricted access to Twitter.

Russian officials have said that false information has been spread by Russia's enemies such as the United States and its Western European allies in an attempt to sow discord among the Russian people.

Lawmakers passed amendments to the criminal code making the spread of "fake" information an offence punishable with fines or jail terms. They also imposed fines for anyone calling for sanctions against Russia following the invasion of Ukraine.

The Kremlin did not immediately respond to a Reuters request for comment on the media companies' moves to suspend reporting.

News executives said the new law would hamper independent reporting and imperil journalists, and that their organizations must balance the obligation to audiences to report the news with protecting journalists against retaliation.

"The change to the criminal code, which seems designed to turn any independent reporter into a criminal purely by association, makes it impossible to continue any semblance of normal journalism inside the country," Bloomberg Editor-in-Chief John Micklethwait wrote in a message to his staff. "We will not do that to our reporters."

BBC Director General Tim Davie said the new legislation appeared to criminalise the process of independent journalism.

"It leaves us no other option than to temporarily suspend the work of all BBC News journalists and their support staff within the Russian Federation while we assess the full implications of this unwelcome development," he said in a statement.

He added that the BBC News Service in Russian would continue to operate from outside Russia. Jonathan Munro, an interim director of BBC News, said the corporation was not "pulling out" journalists from Moscow but assessing the impact of the new law.

The Canadian Broadcasting Corp., the country's public broadcaster, said it had temporarily suspended reporting from the ground in Russia so it could seek clarity on the new law.

U.S. television newscaster ABC News said it would pause broadcasting from Russia as it assessed the situation. The Washington Post, Dow Jones and Reuters said they were evaluating the new media law and the situation.

"Our top priorities are the safety of our employees and covering this important story fairly and fully," said Dow Jones spokesperson Steve Severinghaus. "Being in Moscow, freely able to talk to officials and capture the mood, is key to that mission."

By ordering his forces into Ukraine, President Vladimir Putin has sparked the worst crisis between Russia and the West since the end of the Cold War, battering financial and commodity markets, sending the rouble into a tailspin and triggering an economic isolation never before visited on such a large economy.

Western governments and tech platforms have also banned the Russian news network RT, with the European Union accusing it of systematic disinformation over Russia's invasion of Ukraine.

MEDIA FREEDOM

Russia's Foreign Ministry says that the Western media offer a partial - and often anti-Russian - view of the world while failing to hold their own leaders to account for corruption or devastating foreign wars like Iraq.

Western leaders including British Prime Minister Boris Johnson and former U.S. President Barack Obama have long raised concerns about the dominance of state media in Russia and say the freedoms won when the Soviet Union collapsed have been rolled back by Putin.

The new legislation was drafted by Russia's upper house of parliament and signed into law by Putin, TASS reported. It appeared to give the Russian state much stronger powers to crack down, by making it a criminal offence to spread fake information, with a jail term.

"If the fakes lead to serious consequences, then imprisonment of up to 15 years threatens," the lower house of parliament, known as the Duma in Russian, said in a statement.

Russia had earlier cut access to several foreign news organisations' websites, including the BBC, Voice of America and Deutsche Welle, for spreading what it said was false information about its war in Ukraine.

The BBC said it would start broadcasting four hours of news a day in English on shortwave radio in Ukraine and parts of Russia, reviving an antiquated technology used in the Cold War to circumvent state censorship.

Source: Reuters
 
😂 hao wazungu wanapenda kupigania sana uhuru ili wafanye unafiki wao! Na bado wanakuja na Uhuru wa kutetea mashoga!.
Halafu ndio haohao walituletea habari za Mungu!.

Dunia hii kuna mambo yapo Kama Windows kila siku wana-update mpya zile utumwa wa kuchapana ukaisha ikaja new version ukoloni mamboleo!,wakatuletea Mungu wao na shetani! sasa mara hii naona wameamua kutuleta matendo ya hovyo!.

Akili kichwani mwako.
 
Mwisho wa unafiki, pumbavu, media zinazoongoza kupika habar za kumchafua mtu au taifa
 
😂 hao wazungu wanapenda kupigania sana uhuru ili wafanye unafiki wao! Na bado wanakuja na Uhuru wa kutetea mashoga!.
Halafu ndio haohao walituletea habari za Mungu!.

Dunia hii kuna mambo yapo Kama Windows kila siku wana-update mpya zile utumwa wa kuchapana ukaisha ikaja new version ukoloni mamboleo!,wakatuletea Mungu wao na shetani! sasa mara hii naona wameamua kutuleta matendo ya hovyo!.

Akili kichwani mwako.
Kipindi wana Mungu pia walikuwa na amani. Leo wamemwacha Mungu ona yanayowatokea!!!
 
Ukiwasikiliza sana BBC na CNN unaweza ukafika sehemu ukajihisi na wewe ni mmagharibi, kumbe kwenu Tandale na Tandahimba. Jamaa wanajua sana propaganda.
 
Kipindi wana Mungu pia walikuwa na amani. Leo wamemwacha Mungu ona yanayowatokea!!!
Amani ile ya ww1 na ww2 au unasemea amani ipi..? Ama ile ya kuharibu tawala za wenzao kule arabuni...? Vipi na vile vikundi vya upande wapili wa kujitoa muhanga..
 
Amani ile ya ww1 na ww2 au unasemea amani ipi..? Ama ile ya kuharibu tawala za wenzao kule arabuni...? Vipi na vile vikundi vya upande wapili wa kujitoa muhanga..
Kwani Ukristo Ulaya umeingia miaka ipi na WW1 na WW2 ilikuwa mwaka gani? Hadi kufikia miaka ya 1900s ukristo ulishakosa nguvu Ulaya -- na nirudie tena -- kumwacha Mungu ni kumkaribisha shetani.
 
Kwani wakirusha habari za ukweli watafungwa? Kama wanasitisha Basi wanatuaminisha kuwa huwa wanaripoti fake news. Ndio maana tulikua tunaambiwa wanajeshi kadhaa wa Urusi wamekufa kumbe propaganda

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Ndiyo utazijua hizo hila za magabacholi. Wee wamesema ukisema uongo kifinyo, unaanza kuweweseka. Safi sana Putin, wewe shikiria hapo hapo. Hao waliipuuza dunia kwa kiasi cha kuchosha.
 
Kwani Ukristo Ulaya umeingia miaka ipi na WW1 na WW2 ilikuwa mwaka gani? Hadi kufikia miaka ya 1900s ukristo ulishakosa nguvu Ulaya -- na nirudie tena -- kumwacha Mungu ni kimkaribisha shetani.
Hao walikuja wote maana ukimuacha mmoja mambo hayakai balance huwezi mkimbiza mtu upande wa kulia kama haogopi wa kulia! Na vise versa pia.
 
Hao walikuja wote maana ukimuacha mmoja mambo hayakai balance huwezi mkimbiza mtu upande wa kulia kama haogopi wa kulia! Na vise versa pia.
Aisee, umefikiri nje ya box mkuu! Upo +!sahihi kwa upande mmoja, lakini ile style ya maisha ya waUlaya wao wanaona ni usasa lakini ni kumkaribisha shetani sebuleni. Na anawapiga kweli kweli.
 
Aisee, umefikiri nje ya box mkuu! Upo +!sahihi kwa upande mmoja, lakini ile style ya maisha ya waUlaya wao wanaona ni usasa lakini ni kumkaribisha shetani sebuleni. Na anawapiga kweli kweli.
Haha! Mkuu unajua unajiingiza kwenye ugomvi usioujua!!
Ugomvi wa Mungu na shetani ulianzia huko juu wakauleta huku kwa viumbe anavyovipenda..😂
Hakukuwa na kosa kwa Adam na Eva kula tunda kwani hawakuumbwa kuwa perfect!. Go deep.
 
Yes Putin is 100 percent Hitler nae
Wabongo bana! Mmarekani akitamka kwamba huyu mbaya basi na wabongo nao wanaaminishwa ni mbaya! Kwani Putin ashawahi kufanya kibaya kipi kwa mwafrika au mbongo hadi aitwe Hitler? Ni Hitler kwa Marekani na Ukraine si kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom