Sheria na Mikataba inayolinda ushoga ambayo Tanzania imeridhia

Kwahiyo unafurahia watu kuingiziwa madole kwenye haja kubwa?
Kuna baadhi ya vitu ukiwa unatetea angalia wazazi wako wadogo zako jamii yako

Kubwa muumba wako, duniani tunapita Kama umealibika ww sio Kila mtu ahalibike

Asante.

Tumia taaluma yako kunufaisha wanyonge umesomeshwa na jamii ili ipate matunda sio upuuzi huu.
 
Sawa. Lakini siwezi kuona watu wananyanyaswa kwa msingi wa kulinda mila.

Mila ni nzuri ndio, lakini mila za kuingizia watu vidole kwenye haja kubwa eti unawapima, hilo siliafiki.

Mila za kuwafunga jela watu na kuwadhalilisha kwa sababu tu ya hisia zao, hilo siliafiki.

Mila za kuwapiga, kuwaadhibu na kutweza watu utu wao, kuwachania nguo na kuwaaibisha hadharani kwa sababu tu wanafanya mapenzi na watu wa jinsia yao, hilo siliafiki.

Mila za kuvunja katiba ya nchi na mikataba tuliyoapa kuilinda kwa mustakabali mwema wa nchi na watu wake, hilo siliafiki.
 
Ko ulisomeshwa na wanyonge ili kualibu Mila na desturi zetu wa Tanzania.

Haya mnao support wanasheria mwenzenu huyu apa.

Ona aibu ata kwa muumba wako.

Shame on you!
Hajasoma huyo shoga ni mweupe sana kichwani atakuwa anapokea msaada wa KY gel kutoka kwa wazungu ili alainishe rectum wakati anaingiliwa na wanaume wenzie. Sasa kwenye kikao chao mashoga wamepewa andiko la kuja kusambaza kwenye mitandao kutetea ufedhuli wao
 
Sawa. Lakini siwezi kuona watu wananyanyaswa kwa msingi wa kulinda mila.

Mila ni nzuri ndio, lakini mila za kuingizia watu vidole kwenye haja kubwa eti unawapima, hilo siliafiki.

Mila za kuwafunga jela watu na kuwadhalilisha kwa sababu tu ya hisia zao, hilo siliafiki.

Mila za kuwapiga, kuwaadhibu na kutweza watu utu wao, kuwachania nguo na kuwaaibisha hadharani kwa sababu tu wanafanya mapenzi na watu wa jinsia yao, hilo siliafiki.

Mila za kuvunja katiba ya nchi na mikataba tuliyoapa kuilinda kwa mustakabali mwema wa nchi na watu wake, hilo siliafiki.
Kwa hiyo kufanyana kinyume na maumbile na kusagana unaona sahihi na elimu uliyo nayo.
 
bora wapumuliwe kimya kimya

Wakipumuliwa kimya kimya wanaanza kuwindwa na kuchunguliwa madirishani.

Unakuta kabisa task force imeundwa kwa kazi maalumu ya kuchungulia watu madirishani kuona nani anamfira nani!

Hilo ni tatizo. Hakuna nchi ya aina hiyo ya kuchunguliana madirishani.
 
Tumechoka na mada zenu za ushoga nyie ni WA kwanza kufanya why mnafamya promo kwani unafikiria
Wengine hawapelekewi moto?
 
Huyu Bichwa Komwee amejaribu kujificha kwenye matusi mwisho kajianika wazi kuwa yeye ni shoga na anapanuliwa rectum na wanaume wenzie. Halafu huyu jamaa huwa ni mweupe sana kichwani sijui ni effects za kujaa mbegu za wanaume wenzie kwenye rectum
Kinachowaponza ni kutangaxa siwafanywe kimya kimya maana hata huko USA tu bado wameruhusiwa but no peace of mind.
 
Inashangaza watu wanatetea hadharani kupuliwa kisogoni, bora wapumuliwe kimya kimya kuliko hii miluzi
Anayewadanganya ni yule shetani Schadenfreude Mange Kimambi na mpumbavu mwenzake Maria Sarungi wakati wenzao wanaishi Marekani na wakiwa upande wa rainbow hata Uraia wa Marekani wanaweza kutunukiwa, wapo kimkakati zaidi.
 
Sawa. Lakini siwezi kuona watu wananyanyaswa kwa msingi wa kulinda mila.

Mila ni nzuri ndio, lakini mila za kuingizia watu vidole kwenye haja kubwa eti unawapima, hilo siliafiki.

Mila za kuwafunga jela watu na kuwadhalilisha kwa sababu tu ya hisia zao, hilo siliafiki.

Mila za kuwapiga, kuwaadhibu na kutweza watu utu wao, kuwachania nguo na kuwaaibisha hadharani kwa sababu tu wanafanya mapenzi na watu wa jinsia yao, hilo siliafiki.

Mila za kuvunja katiba ya nchi na mikataba tuliyoapa kuilinda kwa mustakabali mwema wa nchi na watu wake, hilo siliafiki.
Upinde moja.
Sasa nakuelewa
 
Back
Top Bottom