nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari
Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema kuwa jezi hizo pichani ni maalumu kwaajili ya mechi ya kimataifa lakini klabu ya Yanga tayari imeanza kuzitumia jezi hizo mazoezini.
Matarajio ya wengi walitarajia kuona Yanga wanatumia jezi hizi kwenye mechi za klabu bingwa na michuano mingine ya kimataifa
Bado haijafahamika ni kwanini Yanga wanatumia jezi hizi mazoezini wakati zilitambulishwa kuwa zitatumika katika mechi za kimataifa.
@yangasc