NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,804
- 2,482
Hongera Sheria... anawavisha matajiri wengi sana hapa mjini. Pia anawavisha Taifa Stars na Diamond
Nasikia Bakhresa kamuundia diamond juice ya embe.(special) inauzwa sh 600.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Sheria... anawavisha matajiri wengi sana hapa mjini. Pia anawavisha Taifa Stars na Diamond
Kama jamaa ndo ana desisgn mavazi ya JK basi kakwama.. Nigga is always colour crashing, mikoti over size, mishati kama gazeti.... Yani kwa JK kakwama aiseeee
mzima huyu anagonga dadaka february manyuzinyuzi ndo maana anapatags dili kubwa kubwa
Our leaders wanaishi kama hollywood actors
They act like nothing is going on
Sijawahi kujivunia kuwa Muafrika(Mtanzania)
Nasikia Bakhresa kamuundia diamond juice ya embe.(special) inauzwa sh 600.
Hivi nyerere alikuwa anavalishwa Na nani. (Designer)??
hahahaaaaa umeona eeehh!!ngoi anagonga pale ila mi namkubali sana
hahahah we kiboko ilo jina ulivyoliweka du!!mzima huyu anagonga dadaka february manyuzinyuzi ndo maana anapatags dili kubwa kubwa
Unakwepa kitu muhimu sana foni namba
Hatuitani binamu? Mmh aya bhanya
mzima huyu anagonga dadaka february manyuzinyuzi ndo maana anapatags dili kubwa kubwa
mzima huyu anagonga dadaka february manyuzinyuzi ndo maana anapatags dili kubwa kubwa
Inaitwa Diamond au?? hahaha
Waswahili bwana.
Anamgonga ama ni business partner wake? Mtu ambae ameshiriki fashion show south africa na bado hamuwezi kujivunia kuwa walau aibu ya rais wetu kupewa zawadi za suti itatuondoka!
mi namkubali ngowi sana tu ila hili ni zaidi ya partner wa bisness tena km wameachana sasa hv ndo wako kibiashara zaidi
jamaa mwenyewe km muhuni flani.kumbe ndio mana cjawahi kuona pinda kapendeza.
Hivi nyerere alikuwa anavalishwa Na nani. (Designer)??