Sheria Ngowi: Mbunifu wa mavazi Mtanzania anaemvalisha Kikwete na Pinda

Sheria Ngowi: Mbunifu wa mavazi Mtanzania anaemvalisha Kikwete na Pinda

Kwa ujumla designers wetu kwa upande Wa suti bado Sana hebu ona masuti anayovaaga Pinda hutamani kumwangalia Mara mbili...

Hata JK masuti yanamshoresha Sana ukiondoa zile alizopewa na jamaa Wa Kempinsky mengine hovyo...

Hapo vipi
 
Attachments

  • 1417976959246.jpg
    1417976959246.jpg
    41 KB · Views: 392
NImepata Msamiati mwingine toka JF....... "February Manyuznyuzi"

JF ni mwisho!!!!!!
 
Ha ha ha.una utani weye.anamshonea pia na raisi wetu.vp nae hua hapendezi pia.
Bora rais.Hv ushawahi kumuona pinda katokelezea mkuu?Na hapo anadesigner wake.Je angekuwa anajipangia mwenyewe.
 
Bora rais.Hv ushawahi kumuona pinda katokelezea mkuu?Na hapo anadesigner wake.Je angekuwa anajipangia mwenyewe.
pinda avae mitumba tu hizo nguo nyingine hazijawahi kumpendeza
 
Back
Top Bottom