Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Kwakweli mgema akisifiwa Sana tembo hulitia maji Sina la kusema jezi zinatisha hazitamanishi hata

Si kwa ubaya viongoz wa Yanga mnaweza badilisha jezi hazina mvuto ni kituko

Vivutio vya kihistoria yamekuwa Kama makaburi kwakweli

Tunatishana kabla hatujafa
 
kwakweli mgema akisifiwa Sana tembo hulitia maji Sina la kusema jez zinatisha hazitamanishi hata

Si kwa ubaya viongoz wa yanga mnaweza badilisha jez hazna mvuto n kituko

Vivutio vya kihistoria yamekuwa Kama makaburi kwakweli

Tunatishana kabla hatujafa
Tunaomba picha na thithi tusamenishe tasavali 🙈🙈
 
Sasa hizo jezi ziko wapi?
IMG_20220728_201935.jpg
 
Nimeshangaa Kuna jezi zimewekwa picha za legends aziza k pia yumo wakati hajawahi hata kuichezea yanga inaonekana eymael alisema kweli yanga ni uneducated
Siku zikiletwa jezi za Simba, Yanga nao waje wakosoe kama mnavyofanya bila akili. Aziz Ki kaonyeshwa kwenye video si kwa sababu jina lake liko kwenye jezi. Ameonyeshwa kwa sababu yeye ndo ametumika kama Modo kuitangaza jezi, muwe mnaelewa.
 
Acha uropokaji kwani umeambiwa jezi unaenda nayo kanisani??. Ukiambiwa ubuni hata kitambaa Cha jicho lako huwezi😂
 
Siku zikiletwa jezi za Simba, Yanga nao waje wakosoe kama mnavyofanya bila akili. Aziz Ki kaonyeshwa kwenye video si kwa sababu jina lake liko kwenye jezi. Ameonyeshwa kwa sababu yeye ndo ametumika kama Modo kuitangaza jezi, muwe mnaelewa.
Kwa jezi zenu zilivyo sidhani kama itakuwa na nguvu ya kuzungumzia jezi zetu
 
Siku zikiletwa jezi za Simba, Yanga nao waje wakosoe kama mnavyofanya bila akili. Aziz Ki kaonyeshwa kwenye video si kwa sababu jina lake liko kwenye jezi. Ameonyeshwa kwa sababu yeye ndo ametumika kama Modo kuitangaza jezi, muwe mnaelewa.
Sasa zile ni jezi au takataka
 
Back
Top Bottom