Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
Tena wa jadiNaamini umeandika kiutani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wa jadiNaamini umeandika kiutani...
Mtani kwa jezi zenu hizi za msimu ujao mmeangukiwa na kitu kizito kwa kichwa, angalau kidogo hiyo black na yellow kwa mbali, ila hyo green haiko poa kabisaSiyo mbaya mkisubiria zile za kudesa kila kitu kutoka kwa akina Arsenali na Man U.
Sheria Ngowi ni kama Haji Manara tu ni wakala wa Simba wapo kwa mission maalum.Mkuu washabiki ambao ndio wateja wa hizo jezi hawana mpango na hizo unazoziita idea< wanachoangalia ni kuvutia kwa jezi. Kwa ufupi hazivutii, na Sheria Ngowi tumemshtukia, ni Simba damu huyu
Umetupia kipimo kwamba mashabiki wa Yanga hawavutuwi na jezi, jezi zimezinduliwa Jana saa 2 usiku wewe saa 1 asubuhi umeshaconclude mashabiki wa Yanga walio wengi hawavutuwi nazo haya ndo maajabu ya TanzaniaMkuu washabiki ambao ndio wateja wa hizo jezi hawana mpango na hizo unazoziita idea< wanachoangalia ni kuvutia kwa jezi. Kwa ufupi hazivutii, na Sheria Ngowi tumemshtukia, ni Simba damu huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ndo ufukunyuaji sio