Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Sheria Ngowi umetuweza mwaka huu

Siyo mbaya mkisubiria zile za kudesa kila kitu kutoka kwa akina Arsenali na Man U.
Mtani kwa jezi zenu hizi za msimu ujao mmeangukiwa na kitu kizito kwa kichwa, angalau kidogo hiyo black na yellow kwa mbali, ila hyo green haiko poa kabisa

Big up kwa jez za msimu uliopita mlikuwa good!
 
Mkuu washabiki ambao ndio wateja wa hizo jezi hawana mpango na hizo unazoziita idea< wanachoangalia ni kuvutia kwa jezi. Kwa ufupi hazivutii, na Sheria Ngowi tumemshtukia, ni Simba damu huyu
Sheria Ngowi ni kama Haji Manara tu ni wakala wa Simba wapo kwa mission maalum.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu washabiki ambao ndio wateja wa hizo jezi hawana mpango na hizo unazoziita idea< wanachoangalia ni kuvutia kwa jezi. Kwa ufupi hazivutii, na Sheria Ngowi tumemshtukia, ni Simba damu huyu
Umetupia kipimo kwamba mashabiki wa Yanga hawavutuwi na jezi, jezi zimezinduliwa Jana saa 2 usiku wewe saa 1 asubuhi umeshaconclude mashabiki wa Yanga walio wengi hawavutuwi nazo haya ndo maajabu ya Tanzania
 
Back
Top Bottom