OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama sio mbunifu wa mavazi haswa wale wa prints au msanii wa uchoraji, huwezi ielewa jezi ya Yanga...
Kwangu mimi ukiweka ushabiki pembeni, jamaa katumia akili sana kwenye ubunifu, kuna kitu kidogo tu naona alipaswa arekebishe kwenye hiyo ya kijani, hayo majengo alipaswa kuyafifisha kidogo...yaani ukiitazama jezi uanze kuiona jezi then ndio ifuate hiyo artwork
Idea hiyo hiyo ya jezi wameifanya Nike kwa away au third kit ya Barca