Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Tunaomba picha na thithi tusamenishe tasavali 🙈🙈kwakweli mgema akisifiwa Sana tembo hulitia maji Sina la kusema jez zinatisha hazitamanishi hata
Si kwa ubaya viongoz wa yanga mnaweza badilisha jez hazna mvuto n kituko
Vivutio vya kihistoria yamekuwa Kama makaburi kwakweli
Tunatishana kabla hatujafa
Sasa hizo jezi ziko wapi?
Siku zikiletwa jezi za Simba, Yanga nao waje wakosoe kama mnavyofanya bila akili. Aziz Ki kaonyeshwa kwenye video si kwa sababu jina lake liko kwenye jezi. Ameonyeshwa kwa sababu yeye ndo ametumika kama Modo kuitangaza jezi, muwe mnaelewa.Nimeshangaa Kuna jezi zimewekwa picha za legends aziza k pia yumo wakati hajawahi hata kuichezea yanga inaonekana eymael alisema kweli yanga ni uneducated
Kwa jezi zenu zilivyo sidhani kama itakuwa na nguvu ya kuzungumzia jezi zetuSiku zikiletwa jezi za Simba, Yanga nao waje wakosoe kama mnavyofanya bila akili. Aziz Ki kaonyeshwa kwenye video si kwa sababu jina lake liko kwenye jezi. Ameonyeshwa kwa sababu yeye ndo ametumika kama Modo kuitangaza jezi, muwe mnaelewa.
Sasa zile ni jezi au takatakaSiku zikiletwa jezi za Simba, Yanga nao waje wakosoe kama mnavyofanya bila akili. Aziz Ki kaonyeshwa kwenye video si kwa sababu jina lake liko kwenye jezi. Ameonyeshwa kwa sababu yeye ndo ametumika kama Modo kuitangaza jezi, muwe mnaelewa.