Sheria sasa kwamba wasichana wote Kenya kupewa pedi za usafi

uchaguzi wa round hii hauta waacha jubilee salama.
 
Vizuri mbona kondomu wanagawa bure why not ped? Kazi nzuri mzee au sio wajameni!
 
Usipende kutumia kondomu za bure, ni hatari bora ulipie gharama ili ucheze mchezo ukiwa salama.
 
Hilo neno povu huwa lipo rahisi kutoka midomoni mwenu, hata wakati mnaambiwa ukweli, hili janga la watoto kukosa pedi lipo Afrika yote na linawatesa sana wasichana wa Tanzania, sasa mwanaume mzima ambaye labda ni mzazi unajitoa ufahamu kwamba hulijui, unatia huruma.

Hahaaaaaaa.....punguza povu wewe ukweli unajulikana wasichana wa Kenya walivyo wachafu,,,niliwahi kuwa na girl friend kisumu aiseee unakuta kwapa chafu yani nywele za kwapa nyeupe kiukweli sikudunu nae,,,so naona hili Uhuru kaliona ni janga kwa kenya wanawake kushindwa kujiweka safi
 
Failure of most africans countries....kuna mmoja hapa tanzania alisema kufunga ndoa kwa raia wake mpaka uwe na cheti cha kuzaliwa....
Na ni Proffesor....

Kwakwakwakwakwa.......
 
Yes,ili kuzui Wakenya kuzamia TZ kwa kisingizio cha kuoa Mtz.
 
Nilipokuwa swcondary boarding school tulinunua cotton wool na bandages tulikuwa tunatengeneza wenyewe
 
Safi, ila kumbuka umetumia neno 'tulinunua', sasa kuna wasichana vijijini hawana hata shilingi mia ya Tanzania.
 
Hilo neno povu huwa lipo rahisi kutoka midomoni mwenu, hata wakati mnaambiwa ukweli, hili janga la watoto kukosa pedi lipo Afrika yote na linawatesa sana wasichana wa Tanzania, sasa mwanaume mzima ambaye labda ni mzazi unajitoa ufahamu kwamba hulijui, unatia huruma.
You are a very patient man. Hongera. [emoji3] [emoji3]
 
Safi, ila kumbuka umetumia neno 'tulinunua', sasa kuna wasichana vijijini hawana hata shilingi mia ya Tanzania.
Gharama ya cotton wool ni nafuu sana kulinganisha na always, tena always za mchina ni za sufi hazi absorb.
 
Back
Top Bottom