ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi.
Tukija kwenye uhalisia assume hata wewe upo kwemye uwanja wa mapambano halafu adui yako aliyekuwa anataka kukuaa amekukosa kosa na risasi halafu ghafla aishiwe risasi kweli utamuacha usimchape risasi kisha kanyosha mikono juu?
Watalaama wa vita nisaidie hilo wanajeshi kwenye frontline wanaweza wakawa na huruma hizo dhidi ya adui?