watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Wenye kuku anaetaga mayai wamekonda, mayai yanachukuliwa yanaenda kukaangwa mbali kunenepesha wengine, SIO SAWA !!
Sio sawa mkoa unazalisha mabilioni lakini hospitali ni za ovyo, barabara hazipitiki, n.k. napato yao yanaenda kuinua mikoa mingine kijenga barabara, kujenga vyuo, kujenga viwanja, n.k.
Kama mkoa una mbuga 30 % ibaki mkoani, inayobaki iwe kitaifa
Kama mkoa una madini 30 % ibaki mkoani, inayobaki iwe kitaifa
Kama mkoa una mlima 30 % ibaki mkoani, inayobaki iwe kitaifa
Kama mkoa una makaa ya mawe 30 % ibaki mkoani, inayobaki iwe kitaifa