Zambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.I wish wangebakia wachezaji 7 tu! Tena TFF wangeruhusu wale wachezaji wanaocheza ligi kuu kwenye nchi zao. Hawa 12 naona wanawazibia tu wazawa kupata nafasi ya kucheza muda mwingi kwenye vilabu vyao.
hii nchi ina watu waoga wa kufungua mipaka,wachezaji wazawa nao watoke nje ya nchi waache futuristic mindset ya Simba na Yanga.I wish wangebakia wachezaji 7 tu! Tena TFF wangeruhusu wale wachezaji wanaocheza ligi kuu kwenye nchi zao. Hawa 12 naona wanawazibia tu wazawa kupata nafasi ya kucheza muda mwingi kwenye vilabu vyao.
Emu acheni uwoga mbona epl team za ligi kuu wachezaji wa kigeni ni wengi emu acheni ubinafciZambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.
Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
Mzawa gani kazibiwa nafasi?I wish wangebakia wachezaji 7 tu! Tena TFF wangeruhusu wale wachezaji wanaocheza ligi kuu kwenye nchi zao. Hawa 12 naona wanawazibia tu wazawa kupata nafasi ya kucheza muda mwingi kwenye vilabu vyao.
Tunaweza kwenda afcon hata kuangalia tu mashindano siyo lazima tushiriki.Zambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.
Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
Hizi akili za wapi? Ligi bora ya epl Haina sheria za kijinga namna hiiZambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.
Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wangeongeza tu timu isajili wachezaji wowote kutokana na uwezo wao,huwezi kuchukua caf champions kwa hawa wachezaji wetu wa ndani mrenda mrenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jeremiah juma.Mzawa gani kazibiwa nafasi?
Charles ilanfya.....
I wish team ziruhusiwe kuwa na wachezaji hata 20 wa nje.
Hapana, hao hao 12 ili tuendelee kufika robo fainali za michuano ya CAF. Lengo ni michuano ya nje ya nchi, sio hii ya ndani ambayo kombe ni lile lileI wish wangebakia wachezaji 7 tu! Tena TFF wangeruhusu wale wachezaji wanaocheza ligi kuu kwenye nchi zao. Hawa 12 naona wanawazibia tu wazawa kupata nafasi ya kucheza muda mwingi kwenye vilabu vyao.
Sio lazima tuige Zambia, tunaweza kuiga hata DRC ambapo TP Mazembe ina wachezaji wageni kama wote. Kwanza Zambia wakigusa kwa Simba wanatolewa, hatuwezi kuwaiga. Mfano wa hivi karibuni ni Nkana na Red Arrows kufurumushwa mashindanono na SimbaZambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.
Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
Sawa hiyo nayo ni njia pia tunaweza ifuata. Inategemea lengo la federation ni nini ila kama lengo ni kutengeneza timu nzuri ya taifa sidhani kama ndio njia sahihi.Sio lazima tuige Zambia, tunaweza kuiga hata DRC ambapo TP Mazembe ina wachezaji wageni kama wote. Kwanza Zambia wakigusa kwa Simba wanatolewa, hatuwezi kuwaiga. Mfano wa hivi karibuni ni Nkana na Red Arrows kufurumushwa mashindanono na Simba
Hao england kombe la dunia wamechukua mara ngapi?Hizi akili za wapi? Ligi bora ya epl Haina sheria za kijinga namna hii
Wanechukua mara moja. Zambia mara ngapi? Ligi ya epl itafananishwa na ya Zambia?Hao england kombe la dunia wamechukua mara ngapi?