ziba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 474
- 546
Naomba kuuliza kwenu wadau wa michezo , ile Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji kumi wa kigeni kwenye ligi ya ndani bado ipo? Na Kama ipo naomba ufafanuzi wa hili la Simba kuwa na wachezaji kumi na mbili wa kigeni na bado wote wanacheza kwa nyakati tofauti.
Hii imekaaje inanichanganya kidogo msaada tafadhali.
1. Wawa. 2. Onyango. 3.Kanote 4.sako 5. Enonga 6. Bwaya. 7.kagere 8. Morrison. 9. Banda. 10. Chama. 11.mugalu. 12 lwanga.
Hii imekaaje inanichanganya kidogo msaada tafadhali.
1. Wawa. 2. Onyango. 3.Kanote 4.sako 5. Enonga 6. Bwaya. 7.kagere 8. Morrison. 9. Banda. 10. Chama. 11.mugalu. 12 lwanga.