Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji wa kigeni 10 imekaaje?

ziba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
474
Reaction score
546
Naomba kuuliza kwenu wadau wa michezo , ile Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji kumi wa kigeni kwenye ligi ya ndani bado ipo? Na Kama ipo naomba ufafanuzi wa hili la Simba kuwa na wachezaji kumi na mbili wa kigeni na bado wote wanacheza kwa nyakati tofauti.

Hii imekaaje inanichanganya kidogo msaada tafadhali.

1. Wawa. 2. Onyango. 3.Kanote 4.sako 5. Enonga 6. Bwaya. 7.kagere 8. Morrison. 9. Banda. 10. Chama. 11.mugalu. 12 lwanga.
 
Wachezaji wa kigeni wanaopaswa kusajiliwa ni 12 (kumi na wawili), katika michezo ya Ligi kuu NBC PL wachezaji wa kigeni wanao ruhusiwa kuhusika katika mchezo 1(mmoja) ni wachezaji 8 (wanane) tu.

Nimejitahidi kwa uelewa wangu.
 
I wish wangebakia wachezaji 7 tu! Tena TFF wangeruhusu wale wachezaji wanaocheza ligi kuu kwenye nchi zao. Hawa 12 naona wanawazibia tu wazawa kupata nafasi ya kucheza muda mwingi kwenye vilabu vyao.
 
Zambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.

Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
 
hii nchi ina watu waoga wa kufungua mipaka,wachezaji wazawa nao watoke nje ya nchi waache futuristic mindset ya Simba na Yanga.
 
Tena wangeongeza tu timu isajili wachezaji wowote kutokana na uwezo wao,huwezi kuchukua caf champions kwa hawa wachezaji wetu wa ndani mrenda mrenda
 
Zambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.

Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
Emu acheni uwoga mbona epl team za ligi kuu wachezaji wa kigeni ni wengi emu acheni ubinafci
 
I wish wangebakia wachezaji 7 tu! Tena TFF wangeruhusu wale wachezaji wanaocheza ligi kuu kwenye nchi zao. Hawa 12 naona wanawazibia tu wazawa kupata nafasi ya kucheza muda mwingi kwenye vilabu vyao.
Mzawa gani kazibiwa nafasi?
Charles ilanfya.....
I wish team ziruhusiwe kuwa na wachezaji hata 20 wa nje.
 
Zambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.

Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
Tunaweza kwenda afcon hata kuangalia tu mashindano siyo lazima tushiriki.
 
Zambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.

Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
Hizi akili za wapi? Ligi bora ya epl Haina sheria za kijinga namna hii
 
Tena wangeongeza tu timu isajili wachezaji wowote kutokana na uwezo wao,huwezi kuchukua caf champions kwa hawa wachezaji wetu wa ndani mrenda mrenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzawa gani kazibiwa nafasi?
Charles ilanfya.....
I wish team ziruhusiwe kuwa na wachezaji hata 20 wa nje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jeremiah juma.
 
I wish wangebakia wachezaji 7 tu! Tena TFF wangeruhusu wale wachezaji wanaocheza ligi kuu kwenye nchi zao. Hawa 12 naona wanawazibia tu wazawa kupata nafasi ya kucheza muda mwingi kwenye vilabu vyao.
Hapana, hao hao 12 ili tuendelee kufika robo fainali za michuano ya CAF. Lengo ni michuano ya nje ya nchi, sio hii ya ndani ambayo kombe ni lile lile
 
Zambia hapo wenzetu wameshusha idadi kuanzia msimu ujao wachezaji wakigeni ni 5 na ni watatu tuu ndio wanaweza cheza kwa wakati mmoja uwanjani.

Sie huku hadi ligi daraja la pili tuna wachezaji wageni alafu tunadanganyana kuwa tutaenda afcon
Sio lazima tuige Zambia, tunaweza kuiga hata DRC ambapo TP Mazembe ina wachezaji wageni kama wote. Kwanza Zambia wakigusa kwa Simba wanatolewa, hatuwezi kuwaiga. Mfano wa hivi karibuni ni Nkana na Red Arrows kufurumushwa mashindanono na Simba
 
Sawa hiyo nayo ni njia pia tunaweza ifuata. Inategemea lengo la federation ni nini ila kama lengo ni kutengeneza timu nzuri ya taifa sidhani kama ndio njia sahihi.
 
Wachezaji wenyewe
Mugalu
Kagere
Banda
Wawa

Bora washushe waruhusiwe mwisho kusajili wachezaji 10 ila wanaoruhusiwa kucheza ni 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom