Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
Kwa mara nyingine mungu wetu ametupa nafasi hadimu na hadhimu katika hii Dunia, hatuna budi kumshukuru.
Nikienda moja Kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Kiukweli nimetafakari vya kutosha kuhusiana na hoja ya kuto kudai fidia pale inapptokea umeshtakiwa kimakosa,haijalishi itakuwa umeonewa ama umesingiziwa ama laa umebambikiwa kesi ya ugaidi na hata kama utakosa mawakili waziri kama kibatala n.k.
Kiukweli nimeshindwa kumulewa waziri wangu wa mambo ndani na nimeshindwa kimuambia aache kujipendekeza ama kujisahau mwishoe akashindwa kukumbuka Kuna kesho ambayo yeye mwenyewe itakuja kumghalimu hapo baadae, kama si yeye basi ndugu yake.
Wana CCM wanapaswa kujua wasifanye makosa ya kutunga Sheria Kwa kuangalia leo.