Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

 
Vipi kwenye haya masoko madini yanakopeshwa? Changamoto ya uwepo wa haya masoko ni ipi na hapo kabla kulikuwa na unafuu upi na hasara zipi kwa nchi na wafanyabiashara? Na ujenzi wa haya masoko msingi ulikuwa ni kutatua changamoto zipi na kutatua nini au kudhibiti nini, na kero ya mfanyabiasha ni ipi, na mfumo huu una manufaa gani kwa wadau?
 
I wish ningekuwa nayo mheshimiwa ningejifunzaπŸ™‚πŸ™„πŸ˜‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…