Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid? Hii inaumiza kinyama kwa Mimi mtanzania.