Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja(share holder)?

Sheria ya makampuni inaruhusu mmiliki mmoja(share holder)?

Risk vs Return

Senior Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
106
Reaction score
71
Wakuu Salama ?

Naomba ushauri ,
1. Je sheria ya makampuni inaweza kuruhusu umiliki wa kampuni ukabaki wa mtu mmoja? Yaani mwanzo walikuwa wengi lakini kadri siku zilivyooenda wanajitoa na kubaki mmoja tu

2. Unaweza kufungua kampuni yenye share holder mmoja pekee?

3. Je mtoto mdogo(minor) anaruhusiwa kuchukua nafasi ya pili kwenye umiliki wakati wa kufungua? au hata waliobaki baada ya wengine kujitoa, mtoto anaweza kuwa moja wapo wa wamiliki wawilw waliobaki?
 
Hairuhusu... Kwa Sababu Kampuni Ni "Two Or More Persons......"
Mtoto Hawezi Kuwa Member Kwa Sababu Hana Capacity To Contract. Ila It Will Be Voidable At The Option Of The Kid Kama Mkiamua Kumpa Membership.
 
Kuhusu single shareholder company marekebisho yaliyofanywa na business laws Misc amendment act 2012 in s18 adding s.26A of company act, Inaruhusu single shareholder company setting out criterias za huyo MTU anayetaka kuanzisha kampuni ya namna hiyo although in that section ili iwe practical zaidi na kufanya operations za hiyo company ziende smooth, minister responsible was given power to make regulations kuhusu that section. Lakini mpk sasa hivi hizo regulations hazijatengenezwa so it makes it impossible to start such a company
 
Back
Top Bottom