Risk vs Return
Senior Member
- Apr 23, 2012
- 106
- 71
Wakuu Salama ?
Naomba ushauri ,
1. Je sheria ya makampuni inaweza kuruhusu umiliki wa kampuni ukabaki wa mtu mmoja? Yaani mwanzo walikuwa wengi lakini kadri siku zilivyooenda wanajitoa na kubaki mmoja tu
2. Unaweza kufungua kampuni yenye share holder mmoja pekee?
3. Je mtoto mdogo(minor) anaruhusiwa kuchukua nafasi ya pili kwenye umiliki wakati wa kufungua? au hata waliobaki baada ya wengine kujitoa, mtoto anaweza kuwa moja wapo wa wamiliki wawilw waliobaki?