Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

mkuu hakuna mfumo wa kutambua jina halisi na mtu mfano wewe unatumia salary slip lakini ukitaka jina halisi maana yake utaitwa mfano john joseph ila lakini hakuna mfumo wa utambuzi wa jina la mtu halisi maana unaweza ukaregister kwenye system ya JF kwa jina lolote ilimradi halimo kwenye database yao ingekuwa Tanzania imeendelea mfumo ambayo ungetumiwa ni mtu akifanya registration kunakuwa na fingerprint ya kumtambua
 
yote yatafutwa na sasa tutakuwa kama ilivyo facebook, instagram na twitter

mkuu jina la Facebook haliwezi kumtambua MTU mfano unaweza kuwa john lakin Facebook ukaandika meandu sasa hapo kuna ukweli wowote si itakuwa kama hapa tu
 
hapo mie naona Kama serikali inataka kutambua watu iwaagjze wamiliki wa mtandao kufanya usajili upya kwa kuregister ambapo mtu akiregister atumiwe code kwenye simu yake alafu hiyo codi aijaze kwenye system alafu tiss wawe na system ambayo ita integrate na system zote na nchi na iweze kucapture information
 
mkuu jina la Facebook haliwezi kumtambua MTU mfano unaweza kuwa john lakin Facebook ukaandika meandu sasa hapo kuna ukweli wowote si itakuwa kama hapa tu

kwenye upelelzi wala hawatamfuata meandu huko facebook, wanachofanya si una marafiki wemngi tu pale lazima kuna watu wanakufahamu vizuri ni rahisi kukupata.
 
kwenye upelelzi wala hawatamfuata meandu huko facebook, wanachofanya si una marafiki wemngi tu pale lazima kuna watu wanakufahamu vizuri ni rahisi kukupata.

Je kwa system Kama jf information zao ni ndogo kumpata mtu
 
hata hivyo kwenye upelelezi itasumbua maana admin aweza badilisha content kwenye database na ujumbe ukabadilika
 
Ungana na waathirika wa makosa ya mitandao kwa kumuomba rais Jakaya kikwete asaini sheria ya makosa ya mitandao kuwa sheria ili kuweza kukomesha haya yafuatayo 1. kutumiwa ujumbe wa matusi. 2. kutumiwa picha zenye maadhui ya kingono. 3. kutumiwa taarifa za uzushi na uongo 4.kuchafuliwa mitandaoni kwa namna yoyote ile. ILI KURA YAKO ISIHARIBIKE LIKE TU.
 
Kwa hiyo hapa JF umefuata nini Michael Chairman ?

Kura km hiyo kaianzishe kwenye redio au gazeti

JF ni platform huru. Kwanini unauliza swali la ajabu hivyo?.

Hoja ya mleta mada ipo wazi kabisa na inaeleweka.

Mleta mada ashinikizi JF ifungwe, bali anashinikiza mitandao itumike kwa usahihi.
 
Last edited by a moderator:
Pale bungeni wanatukanana live mitusi mikubwa, watoto wa miaka mitatu wanasikia na kutizama ktk tv, je wametunga sheria ya kuwabana? Au wanaangalia jinsi ya kuwakandamiza wananchi, kuna mtoto mdogo anamiliki cm?
 
Jk rais watu nadhan ayupo coz nina uhakika...lakin akirud namshaur asimwage wino bwana....hiz picha zinatuondolea stress wananch wako....
 
JF ni platform huru. Kwanini unauliza swali la ajabu hivyo?.

Hoja ya mleta mada ipo wazi kabisa na inaeleweka.

Mleta mada ashinikizi JF ifungwe, bali anashinikiza mitandao itumike kwa usahihi.

Kaisome kwanza hiyo sheria ndio uje hapa.
Usiwe unakurupuka !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…