A
Anonymous
Guest
Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa.
Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu ambao ni victim wa uvunjaji huo wa sheria, kwa mfano application ya Bora pesa bado inatoa siri za wakopaji wao kwa kutuma jumbe kwenye namba ambazo zipo kwenye call log au phone book ya mteja
Tunaiomba serikali ifanye jambo kwa ajili ya kukomesha uhalifu huu.