sheria ya mirathi msaada please

sheria ya mirathi msaada please

Nyani haya mambo ya mirathi yana technicalities nyingi. kwa mfano kama baba akimnyima mtoto ( a child as defined by law) bila kutoa sababu ya msingi , hiyo wosia hautakubalika. Hivyo matakwa ya wosia yakikiuka sheria inakuwa batili. Lakini kwa case ya muuliza swali, as long as ni bastard, he can not inherit from father's side. Yeye anarithi toka upande wa mama. Asijisumbue kabisa!

Ni kweli kwamba wosia ni lazima uwe ndani ya sheria inayoongoza mambo hayo. Sasa katika hali ambayo wosia uko ndani ya confines za sheria husika, basi nijuavyo mimi ni huwa haupingwi, kubadilishwa, wala kukiukwa. Alichotamka marehemu kinatakiwa kufuatwa to the letter.

Sasa tuseme kwa mfano baba wa huyu jamaa alitamka kwamba asilimia fulani ya pesa zake zilizoko benki ziende kwake yeye (huyu jamaa) na marehemu akatamka kwamba huyu jamaa ni rafiki au ndugu yake (bila kusema kwamba ni mwanae wa nje) basi hapo ni lazima tu kufuata matakwa ya marehemu ambaye ndiye mwenye mali (pasi).
 
Perfect, hapo kwenye red ni sawa kabisa. Kuna kesi nzuri sana kutoka CA nitakutumia.Utapata undani wa position ya illigitimate child katika mambo haya ya urithi. It was a hall mark case decided in 1990 by three prominent judges.
 
Yah ni kweli Sheria haimtambui mtoto wa nje ( illegitimate child) lakini pale panapokua na wosia unaomtaja kurithi mali basi anayo haki juu hizo mali.

Akilogwa akamention "MTOTO" hawezi kupata, maana katika definition ya mtoto, illigitimate child is not included. Ampe kama rafiki na siyo mtoto! Akisema na mtoto wangu fulani, basi nitaichallenge kuwa yeye si mtoto by definition ya sheria ya urithi kuhusus mtoto
 
Watoto wangu ni wangu tu,
Wawe wamezaliwa ndani, nje au katikati ya ndoa, ni wangu tu.

Mfano nina watoto wawili ambao nimewapata before ndoa, maisha yangu ni mazuri tu, najiweza kwa kila kitu na labda nitakapo kuja kufikiria kuoa miaka ijayo, mdada atakuja kukuta nimejikamilisha kwa kila kitu. Akija nkapata nae mtoto mwengine ndani ya ndoa, Upon my death hawa wa kwanza hawana haki??
 
Haki wanayo bana. Na hakuna mtoto aliye haramu. Cha muhimu ni kutofanya siri tu.

Ukifanya siri halafu uje ufe bila hata ya kuacha wosia wa maandishi hapo ndipo wanaweza wasipate haki yao. Lakini ukiwatambulisha kwa ndugu, mkeo, na hao wanao wako wengine basi hakutakuwa na shida yoyote ile mradi umeacha wosia wa maandishi.

Na kumbuka kuwa wosia huwa haupingwi, kubadilishwa, wala kukiukwa kwani kwa kufanya hivyo ni kwenda na kinyume na alivyotaka marehemu ambaye ndiye mwenye mali. Hivyo, kama wosia uko ndani ya sheria husika basi hivyo ndivyo itakavyokuwa.

Ila kwa ujumla mirathi ambayo huleta mvutano sana ni pale ambapo hakuna wosia wa maandishi. Pakiwepo maandishi tu basi, kwa kiasi kikubwa sana utafuatwa tu.
 
Pale hakuna wosia lakini mali zote kama nyumba alishzgawa na tena kuthibitisha ilo alibadilisha hadi hati za nyumba.cha ajabu mahakamani walikataa kuwa hakuwa sahihi kufanya ivyo na wakatengua mgawo huo
 
What? Mahakama wana mamlaka gani ya kumwambia hakuwa sahihi kugawa mali zake kama apendavyo?

Mahakama za ki'senge bana! Shida tupu! Mali azichume mwenyewe kwa jasho lake halafu mijitu ije impangie kuzigawa? Stupid.
 
nashkuru xana kwa msada wenu tatizo ni kwamba baba yetu alifariki na bada ya hapo wakaja watu wa2 1 wa kiume na mwingine wa kike 2kaambiwa kuwa wao n watoto wa baba ingawa both of them are above age of18 yrs na m1 wa kike ana watoto wa2.Tulipokwenda mahakamani hakimu wa kwanza wa mahakama ya kwanza akatuambia watoto wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi ivyo hawapaswi kuorodheshwa kama watoto wa maherehemu vinginevyo pawepo na wosia wa kuwataka wao wawepo ndani ya mirathi hiyo.Wale jamaa wakakata rufaa na file likaenda mahakama ya wilaya ambapo hakimu alixema ni lazma wale jama wahusishwe kwnye mirathi only bcause ndugu wanawafahamu watoto hao bila kujali wosia wala nini.Ktk mgawanyo wa mali 2kambiwa 2wape hao jama hadi v2 ambavyo marehemu baba ali2gawia mm na mdogo wangu tena aligawa kwa maandishi.xaxa sielewi if they are right or no na if they are wrong what should we do to rescue ourselves from this condition
 
even myself i dont lyk 2 believe on what have happened although its past
 
Watoto wangu ni wangu tu,
Wawe wamezaliwa ndani, nje au katikati ya ndoa, ni wangu tu.

Mfano nina watoto wawili ambao nimewapata before ndoa, maisha yangu ni mazuri tu, najiweza kwa kila kitu na labda nitakapo kuja kufikiria kuoa miaka ijayo, mdada atakuja kukuta nimejikamilisha kwa kila kitu. Akija nkapata nae mtoto mwengine ndani ya ndoa, Upon my death hawa wa kwanza hawana haki??

Kama ukifa bila maandishi ya kuwapa chochote ndugu yangu hawapati chochote. Labda kama walivyosema humu uwe umewapa kabla hujafa au umewapa kama rafiki zako na si watoto in the legal sense
 
nashkuru xana kwa msada wenu tatizo ni kwamba baba yetu alifariki na bada ya hapo wakaja watu wa2 1 wa kiume na mwingine wa kike 2kaambiwa kuwa wao n watoto wa baba ingawa both of them are above age of18 yrs na m1 wa kike ana watoto wa2.Tulipokwenda mahakamani hakimu wa kwanza wa mahakama ya kwanza akatuambia watoto wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi ivyo hawapaswi kuorodheshwa kama watoto wa maherehemu vinginevyo pawepo na wosia wa kuwataka wao wawepo ndani ya mirathi hiyo.Wale jamaa wakakata rufaa na file likaenda mahakama ya wilaya ambapo hakimu alixema ni lazma wale jama wahusishwe kwnye mirathi only bcause ndugu wanawafahamu watoto hao bila kujali wosia wala nini.Ktk mgawanyo wa mali 2kambiwa 2wape hao jama hadi v2 ambavyo marehemu baba ali2gawia mm na mdogo wangu tena aligawa kwa maandishi.xaxa sielewi if they are right or no na if they are wrong what should we do to rescue ourselves from this condition

Omba rufani high court
 
Kama ukifa bila maandishi ya kuwapa chochote ndugu yangu hawapati chochote. Labda kama walivyosema humu uwe umewapa kabla hujafa au umewapa kama rafiki zako na si watoto in the legal sense

What if nina watoto watatu, wote nje ya ndoa, na sijaoa, na wote nakaa nao labda na house girl????
 
Kama kwenye wosia wa maandishi umetamka kuwa wao ndiyo warithi wako basi hakuna wa kukupinga.

Hebu jiulize, ni nani atakupinga wewe kugawa mali yako upendavyo? Mali ni yako na si ya mahakama wala baba yake hakimu. Sasa kwa nini wao wajitie ujuvi na kuanza kugawa kinyume na ulivyotamka wewe? Haiji kabisa.

Cha muhimu ni kuandika wosia ambao uko ndani ya sheria iongozayo mashauri hayo.
 
What if nina watoto watatu, wote nje ya ndoa, na sijaoa, na wote nakaa nao labda na house girl????

Sheria ya urithi haiwatambui watoto wa nje ya ndoa. Hata kama unao kumi na zaidi na umeishi nao zaidi ya miaka ya maisha yako, as long as kuna mke wa ndoa na watoto wa ndoa, hawawezi kurithi huyo mke wa ndoa aki- raise hiyo issue mahakamani baada ya wewe kufa bila kuandika wosia na kuwapa kama rafiki zako na sio "WATOTO". What matters is not the number but the law! Ukifa bila wosia- interstacy- then your kids will be in trouble! Najua hivyo, labda wanasheria watupe mwanga zaidi.
 
Mkuu hujajibu swali la msingi hapo...
Kwamba marehemu hakuoa, ila ana watoto (kwa hiyo hana watoto wala warithi wa ndani ya ndoa)....na pia hakuacha wosia.....

  1. hao watoto wanakua sio watoto kisheria?
  2. hawastahili kurithi? kama hawastahili, nani ananstahili

RR nimejibu, hawaruhusiwi kurithi, basi. Sheria ya urithi ni kuwa kama huna watoto wala wajukuu wa watoto wako wa kisheria, kaka na dada zako wa damu/tumbo moja ndio wanarithi. Inachukiza lakini mpaka sasa sheria iko hivyo. Hao watoto wako illegitimate hawatarithi kamwe-"a putative father's obligation to his illegitimate children is personal and ends with his death. It does not survive him and cannot attach to his estate upon his dying intestate".
 
  • Thanks
Reactions: RR

Hivi kwenye mashauri ya mirathi huwa wana-establish vipi kuwa wewe ndiyo mtoto wa marehemu?
 
Presumptions: As long as the the child was begotten during the subsistence of the marriage ie the spouses were co-cohabiting together the issues of their marriage are presumed to belong to the husband until it is disproved. Mama anaweza akasema kuwa mtoto huyu si wa mume wangu. But that would be a very contentious case!!! Otherwise watoto ni wa ndoa yenu, wanasheria wanasemaje!
 
Back
Top Bottom