Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia.
Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia.
Unakuwa kama wewe tena ndiye uliyeadhibiwa. Mpira wa kurusha karibu na lango lako uwe faulo ya kupiga au goalkick.