Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Una hoja fikirishi ila hiyo karibu na lango ipimwe kwa umbali gani ie sm, mita au futi ngapi? Mi nashauri karibu na lango kwa maana eno la 18 ivutwe kulia na kushoto kwake.Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia.
Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia.
Unakuwa kama wewe tena ndiye uliyeadhibiwa. Mpira wa kurusha karibu na lango lako uwe faulo ya kupiga au goalkick.
Niliwaza hivyo pia. Usawa wa Kumi na Nane.Una hoja fikirishi ila hiyo karibu na lango ipimwe kwa umbali gani ie sm, mita au futi ngapi? Mi nashauri karibu na lango kwa maana eno la 18 ivutwe kulia na kushoto kwake.
Nimesoma hoja yako kwa jicho la mbaali sn nmegundua ina mashiko, nashauri timu pinzani ikitoa mpira basi mpira urushwe popote upande ulipotolewa ila usivuke mstari wa kati wa mpinzani, hiyo itapelekea kuwe na maana ya adhabu na kupelekea timu pinzani kutotoa mpira hovyo.Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia.
Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia.
Unakuwa kama wewe tena ndiye uliyeadhibiwa. Mpira wa kurusha karibu na lango lako uwe faulo ya kupiga au goalkick.
Anzisha FIFA yakoKwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia.
Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia.
Unakuwa kama wewe tena ndiye uliyeadhibiwa. Mpira wa kurusha karibu na lango lako uwe faulo ya kupiga au goalkick.
Wazo lako ni hafifu sana broh. Halina uzito.Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia.
Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia.
Unakuwa kama wewe tena ndiye uliyeadhibiwa. Mpira wa kurusha karibu na lango lako uwe faulo ya kupiga au goalkick.
Sababu alizotoa kutetea wazo lake ndio tumezikataaHili jambo angesema mzungu au FIFA watu wangeunga mkono, kwa sababu kasema mwenzao wanaona kama kachanganyikiwa.
Yaani huyo jamaa anaznguaMtu kawaza kawazua mnamuita chizi, tujibu hoja zake [emoji2]
Tafakui inatakiwa, kuna muda mtu anatoa mpira pale kwenye bendere ya kona upande wa kurusha, afu mwenye goli la upande ule ndio anatakiwa kurusha huoni ni kama mtego.Sababu alizotoa kutetea wazo lake ndio tumezikataa
Wenger anataka mpira wa kurushwa ..uwe unapigwa kama faulo..anadai itasaidia kuondoa upotezaji muda kwa kutoa mpira njeKwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia.