nakuja na hii kwenye michuano mipya ya vijana wanene tupu"Tipwatipwa cup"
π
mpira wa miguu ushikwe na kipa tu kwenye eneo lake.wengine wote watumie miguu hata mipira ya kurushwa isirushwe mpira uwekwe chini pale ulipotolewa nje upigwe.
Tafakui inatakiwa, kuna muda mtu anatoa mpira pale kwenye bendere ya kona upande wa kurusha, afu mwenye goli la upande ule ndio anatakiwa kurusha huoni ni kama mtego.
Mtego kivipi wakati eneo ilo timu inayorusha inakuwa na wachezaji wengi kuliko mwenzake? Hapo shida sio mpira wa kurusha, bali ni kujiamini kwa timu husika.