Na je mwanaume akibadili dini na kuwa muislamu kisha akafunga ndoa nyingine kwa dini ya kiislamu, je ndoa hiyo itakua batili au halali?Hilo ni kinyume cha sheria. Ndoa ya kanisani ni ya mke mmoja. Inayofuata ni batili
Itakuwa halali. Lakini,ile ya kikristo itakuwa imeisha.Na je mwanaume akibadili dini na kuwa muislamu kisha akafunga ndoa nyingine kwa dini ya kiislamu, je ndoa hiyo itakua batili au halali?
Waliotengana. Ilikuwa ni ndoa ya kanisan je italeta tabu badae!???Kiongoz mm nimeolewa KWA. Ndoa ya serikalin lakin Mume aliwahi kuwa.na MKE WA kanisan wakatengana je .endapo watarudiana .itaniletea tabu??? Na je ntajitete vip
Hautahusika na chochote atazikwa na wazazi na ndugu zake.umekaa na mwanamke miaka miwili bila kumlipia mahali baadae akafariki sheria itasemaje hapo
Unachotakiwa ni kusajili ndoa yako lita baada ya kufunga ndoa..!Nashukuru kwa majibu yako. Lakini nina swali jingine kama hutajali, nalo ni: hivi kabla ya watu kufunga ndoa, huwa kuna utaratibu wa kuomba na kupewa 'marriage license' inayowapa hao wanandoa watarajiwa rukhsa na uhalali wa kufunga ndoa?
Nauliza tu hivyo kwa sababu kuna nchi zingine ambazo mtu huwezi tu kwenda kufunga ndoa halali bila kupata hiyo leseni ya ndoa.
Tanzania tunao huo utaratibu?
Na ambae hana vyeti kama kaka yangu jeVyeti kwanza kuanzia vya kuzaliwa mpk vya kumalizia masomo.[emoji16]
Ataishia CHAPUTA[emoji23]Na ambae hana vyeti kama kaka yangu je
Mkuu, Sheria haikutofautisha kati ya uasherati na uzinzi. Kinachotakiwa ni mwenza kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu mwingine. Lakini, ushahidi wa kimazingira tu hautoshi. Lazima kuwe na ushahidi wa moja kwa moja. Ni ima kuwakuta wakifanya au kukuta mawasiliano yao yanayozungumzia mahusiano yao.Mkuu, PETRO E Mselewa,
Asante kwa kutoa muda wako na elimu yako kutusaidia.
Umesema sababu mojawapo ya kuomba talaka ni uasherati/uzinzi;
1. Je, kuna tofauti kati ya uasherati na uzinzi?
2. Kama vipo viashiria vyote/ pamoja na circumstantial evidence kwamba partner wangu ana mahusiano ya kimapenzi nje ya ndoa, lakini sijamshika "red -handed" , je naweza kufungua shauri la kuomba talaka?
Asante....
Mwambie ampe talaka mkewe, other wise ndoa yako ni batili ?Waliotengana. Ilikuwa ni ndoa ya kanisan je italeta tabu badae!???
Hapo hakuna haja ya kurudiana. Cha msingi kujua ni kuwa ndoa yako si halali kwakuwa ndoa ile ya mwanzo bado ipo. Kikubwa ni kujua pia kuwa ndoa ya kanisani ni ndoa ya mke mmoja. Hivyobasi, haiwezekani kuwa na ndoa nyingine. Kinachotakiwa ni huyo mume kuivunja rasmi ndoa ya kwanza ili kufunga ndoa hiyo ya kwako.Kiongoz mm nimeolewa KWA. Ndoa ya serikalin lakin Mume aliwahi kuwa.na MKE WA kanisan wakatengana je .endapo watarudiana .itaniletea tabu??? Na je ntajitete vip
Mkuu, kisheria, kila jambo linalodaiwa hupaswa kuthibitishwa na anayelidai. Unapaswa kuthibitisha kila unachokidai ili kuwe na ushahidi. Acha kuwa na hisia tu. Sheria haipo kwenye hisia, ipo kwenye ushahidi usio na shaka.Asante sana Mkuu,
Swali la nyongeza.
Iwapo nimeambukizwa na huyu mke wangu ugonjwa wa zinaa, lakini nilipo m-comfront akakataa kuwa sio yeye, labda mimi ndio nimeuleta.
(Lakini mimi najua ni yeye maana sijakuwa na mwanamke mwingine).
Kwenye scenario kama hii, nifanye nini kwa ushauri wako, maana nilitaka kutumia hii kama njia ya kudai talaka.
asante
Ahsante sana ndugu kwa ufafanuzi, nimekuelewa vizuri japo nabaki gizani kwa baadhi ya maeneo. Naomba ni PM namba yako ya simu kama utaniamini maana Jamiiforum ni privacy oriented id. But naomba niaminiUTANGULIZI
Wenza ambao wameoana kwa sheria zinazotambulika tanzania (kimila, kidini na kiserikali) hudai talaka mahakamani (divorce). Pia ambao hawajaoana kwa sheria hzi na wameishi zaid ya miaka miwili hudani KUTENGANISHWA (separation order) so separation na divorce ni tofauti na hutumika mazingira tofauti.
Kwa wewe km unataka kuachana FOREVER/Milele huna budi kwnd mahakamani kuomba talaka (km ilikuwa ndoa ya kisheria tajwa hapo juu) kwa kutoa sababu zilizoainishwa kwny kifungu cha 107 cha sheria ya ndoa sura Na. 21 R.E 2002 ukiwa na hati ya usuluhushishi kuwa ndoa imeashindikana kuendelea (broken irrepairable).
Lakini pia km hauhtaji kutengana nae maisha/milele mwaweza (nyote wawili) kuandika makubaliano ya kutengana (kuishi mbali) chini ya kifungu cha 67 cha sheria tajwa hapo juu. Mkaishi kila mtu mbali ila bado wanandoa.