Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Hawezi kudai fidia yoyote kwa kuwa aliondoka mwenyewe na imepita miaka mingi hawakai pamoja presumption of marriage haiwezi kuonekana hapo
Samahani mimi nimetolewa mahali na tumekaa kwa miezi 6 now nipo kwetu kikao cha ukoo wameshindwa kusuruhisha inawezekana kwenda kwenye sheria
 
Samahani mimi nimetolewa mahali na tumekaa kwa miezi 6 now nipo kwetu kikao cha ukoo wameshindwa kusuruhisha inawezekana kwenda kwenye sheria

Toa ufafanuzi kilichopelekea kurudi kwenu ni kitu gani?
 
Samahani mimi nimetolewa mahali na tumekaa kwa miezi 6 now nipo kwetu kikao cha ukoo wameshindwa kusuruhisha inawezekana kwenda kwenye sheria
Kama ulitolewa mahari then mkaishi kwa miezi sita, hapo unaweza kudai kitukinaitwa kuvunjwa kwa ahadi ya ndoa maana hata kwenye dhana ya ndoa bado hamjafikia.

Kwenda mahakamani inatakiwa wewe binafsi ukitathimini nini unachodai ambacho kinatathiminika ambacho nihasara uliyopata kutokana na kuvunjika kwa uhusiano huo. Vinginevyo hapo hakuna ndoa Bali kulikuwa na mahusiano tu na yamevunjika.
 
Sasa kama nimetengana na mke wangu na niliwahi kuishi nae kwa miaka 5 baada ya hapo nilimwacha sehemu ambayo niliyokuwa nimepanga , kilichonikimbiza ni ugumu wa maisha niliondoka bila kumuaga , Baada ya siku narudi nakuta mke wangu ambaye nimezaa nae mtoto kaondoka na kaolewa kwingine Je naruhusiwa kwenda kwenye sheria ili nimrudie mke wangu maana bado nampenda sana.
 

Nasubiri majibu kutoka kwa wanasheria.
 
Kwanza ieleweke ndoa ili iwendoa halali katika jicho la sheria lazima iwe nacheti(yani ndo iliyosajiliwa). Kwaio kama hamkufunga ndoa iliyosajiliwa kwamujibu wa sheria nakuwa nacheti cha ndoa hapo hapakuwa na ndoa. Kwaio kuolewa kwa mkeo nisawa kabisa.

Pili haujasema uliondoka nakukaa mbali kwa muda gani? Je huko ulikokuwa mkeo alikuwa anajua ulipo?

Kuzaa mtoto na mwanamke au mwanamume hakufanyi mahusiano hayo kuwa ndoa. Kukaa zaidi ya miaka miwili pamoja kati ya mwanamke na mwanamume hakufanyi mahusiano hayo kuwa ndoa, bali hufanya kuwa dhana ya ndoa(presumption of marriage).

Hatakama ikitokea mlifunga ndoa, kama ww ndio chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hio basi itakuwa ngumu kwako kuweza kufanikiwa katika madaiyako. Pia ieleweke ndoa ni muunganiko ya hiyari, kwaio mahakama haiwezi kuamuru watu wapendane ikiwa mmoja kati yao kapoteza mapenzi na mwenzake.
 
Nilipatwa na changamoto niliondoka mwezi wa 9 mwaka jana , nikamuacha kwenye nyumba ya kupanga , kodi ilivyoisha akahamia kwa bibi yangu alikaa mpk mwezi wa pili , akaondoka zake akasema hawezi kuendelea kuishi kwa bibi yangu ,aliondoka akaelekea kwao.
Nilikuwa situmi pesa sababu nilikuwa katika wakati mgumu sana ila niliamini pale nyumbani hawezikoswa pesa ya matumizi wala sikuwahi kumtafuta , Ila nilivyorudi namfata kwao nakuta kaolewa tena kaenda na mwanangu imeniuma sana.
Na mke wangu sitaki kumpoteza nifanyeje jmn maana yule jamaa kamuoa na mimi bado namhitaji mke wangu.
 
Mlifunga ndoa?
 
Mwanaume anashauriwa na ndugu na hamna tatizo lolote kubwa zaidi ya mapishano ya kawaida kwenye mahusiano
 
Asante kwa ufafanuzi!!Umeelezea vizuri kuhusu mke kumiliki Mali zake mwenyewe na hata uwezo wa kuingia mikataba Kama yeye!Je,mume anawezaje kumiliki Mali yake mwenyewe?Hata Kama yuko kwenye ndoa?
 
Je, ni mara ngapi neno UPENDO (LOVE) linatajwa katika Sheria ya Ndoa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…