Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Mke wangu alitoa ujauzito wa hawara yake baada ya jaribio la kunipachika ujauzito kushindikana,baada ya kumbana akawa na mpango wa kuniua,ikishindikana mm basi auwe watoto(ushahidi audio),nikapeleka malalamiko kwa ndg zake sikupewa ushirikiano,nikaenda kwa imam wa msikiti,baada ya mke kukiri alitoa ujauzito imam akamweleza ukweli kuwa umekosea kwa sheria za dini na kiserikali,baadae mke wangu akaanza kumtumia imam msg za matusi,
Nikaenda kutoa taarifa serikali ya mtaa kuhusu jambo hilo,kurudi nyumbani mke hayupo kaenda kwa dada yake mwaka2019 hadi leo,ndg zake hawanipi ushirikiano naambulia matusi,baba yake mzazi hanipi ushirikiano hapokei simu zangu,
Ghafla nikapokea wito wa police,nikaenda stakishari nikamkuta mke wangu na madai yake kuwa nimemfuluza nyumbani,niliwapa police zile audio ikaonekana yy ndo mkosaji,
Akaondoka kurudi kwa dada yake baada ya wiki nikapokea tena wito wa ustawi wa jamii,nikaenda nikamshinda tena,
Nikapokea wito wa kadhi mkoa,nikaenda ikaonekana kuna janjajanja nikimaanisha hakuanzia kata kaenda moja kwa moja mkoa,shauri likarudishwa kata nikamshinda,
Sasa tunaelekea Bakwata wilaya ila lengo langu ni kufungua mashtaka dhidi ya baba mkwe,dada yake anaeishi kwake maana baada ya mke kukimbilia huko wakaungana pamoja mimi sikupewa ushirikiano,pili kumshitaki mke wangu kwakosa la kutoa ujauzito,kutishia kuniua, kutishia kuuwa watoto na kutoa maneno ya kudhalilisha kwa mama yangu mzazi,pia nilipwe fidia kwa usumbufu ninaopata kutokana na kusumbuliwa.
Wajuzi wa sheria mnanishauri nn juu ya hili?
Nb,hizi audio nilimrekodi baada ya kuona kuna mabadiliko ya kitabia,nikamwekea 8Gb memory card kwnye simu yake kisha simu nikaiweka Auto record,
 
Jaman inatokea naachana na mke nimejenga nyumba mbili tofaut sasa hii kugawana 50 kwa 50 imekaaje na huku mim nimejenga mkopo na bado nalipa
 
Duh Mkuu hawa wanawake mm huwa kichwani wapo kwa 20% tu
Sio watu wa kuamini
 
kumpa talaka na kuendelea na maisha yako shilingi ngapi?

au ndio unaogopa kugawana mali

ngoja na yeye akakane au akadai umehack na kuingilia mazungumzo yake

wakati mwingine mapenzi yakiisha kila mmoja achukue ustaarabu wake kuliko kupotezeana muda na kuumizana hisia na akili...mnajichoresha tu kwa watu
 
Pole Sana,

Kuhusu kosa la kutoa Mimba Hilo report tu polisi,linatosha kumtia hatiani .ambapo pamoja na Hilo la kukutishia,matusi yataunganishwa.....(makosa ya jinai hayo)

NB.. kuhusiana kukosa ushirikiano toka kwa familia yake...inategemea maneno aliyowapandikiza kuhusu wewe! This is common!
 
Nahisi Una matatizo ya akili au labda Una tatizo la uzazi Kwa mwanaume aliyekamilika hawezi kuendelea na uyoo mwanamke pole sana
 
Nahisi Una matatizo ya akili au labda Una tatizo la uzazi Kwa mwanaume aliyekamilika hawezi kuendelea na uyoo mwanamke pole sana
Mimi na wewe nani mwenye matatizo ya akili ndg,umesoma vizuri kweli au umekurupuka ku comment?
 
Mazungumzo ya mipango ya kuniua unasema nimemhack,kwa hiyo ndo mmezoea kuwauwa waume zenu kisa kuna sheria zinazuia kuhack mawasiliano,yeye ni mke wangu na alionesha dalili zote za kiuadui,nilifanya hivyo ili nipate ushahidi.
 
wana ndoa wakiachana sheria inasemaje kuhusu kugawana mali ambazo waliingia nazo ndoani?
 
Je, baada ya mahakama kuamua ndoa ivunjwe na talaka itolewe pale inapotaka kufanya maamuzi ya kugawa mali kwa kuangalia mchango wa kila mwanandoa kwenye mali husika uwa wanaangalia na haki ya urithi ya watoto kwenye mali hiyo? Mfano wanandoa hao wamebahatika kuwa na nyumba moja tu labda yenye vyumba vitatu. Na kabla ya ndoa inayotakiwa kuvunjwa mwanaume alikuwa kazaa n mwanamke mwingine watoto wawili ambao umri wao ni chini ya miaka 18 na baada ya ndoa inayotakiwa kuvunjwa wanandoa hao wamepata watoto watatu ambao pia ni chini ya miaka 18. Je, wakati wa kuamua haki ya mwanamke kwenye nyumba hiyo mahakama itaangalia pia haki ya urithi kwa watoto wote hao watano? Kwa kuchukulia huo mfano wa nyumba yenye vyumba vitatu mgao unaweza kuwaje?
 
We ni nomaa
Kiboko ya wasaliti....

Badala ashuke tayari ana makosa bado anapambana
Inaudhi sana

Sijui sheria ila kata RB na talaka kbs hashindwi kukuua huyo
 
Ungempenda ungemuacha bila kumuaga?.

Kaoe mwingine
 
Polisi haihusiki kabisa na maswala ya madai.
Sheria ya ndoa ya Tanzania vilevile inatengeneza makosa ya jinai ambayo yapo apart VII kuanzia section 145 na watu wanaenda jela hivyo polisi wana uwezo wa kufungua makosa hayo na kukamata walio contravene vifungu hivyo
 
Ndoa ya serikali ila mwanamke akatoroka huu ni mwezi wa tatu je utaratibu wa kumuacha ukoje?
 
kwa wananoda halali utaratibu wa talaka ukoje? Ndoa ya kanisani.
 
kuongelea kitu kinachoitwa "haki ya urithi" huanza tu pale mtu (mmiliki wa mali) anapofariki. kama bado yupo hai, hiyo haki haipo. talaka ni talaka, na mirathi ni mirathi. kugawana mali kwa mujibu wa mchango ni kugawana, urithi hadi mtu afe. usichanganye talaka na maintainance ya watoto au na mirathi.
 
Kuna kitabu nasoma hapa,nimeona huko nje wenzetu wana kitu kinaitwa Almony ,hii ikitokea devorce basi Mwanaume ataprovide financial support kwa mwenza wake aliechana nae kwa kipind fulani, muda na kiasi cha malipo inategemea na miaka ya ndoa mliyotimiza,kama kuanzia 15 hadi 20 basi utamuhudumia maisha,chini ya hapo inakua nusu ya mda mlio dumu,mfano kama mmekaa miaka mi 5 ,basi utamuhudumia kwa miaka 2.5 , yani nusu ya miaka 5,

Hii kwetu haijafika bado? Watalamu tupeni nondo.

Pia nimeona devorce ina Child support na marital property,hii ndio ile ya kugawana 50/50 assets zenu,baadh ya nchi mwanamke aweza pewa 80% kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…