Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kwani aliyepitishwa kugombea urais na NEC ni Lissu pekee Yake? Hata Hashim Rungwe, Membe na wengine wamepitishwa na NEC Sasa Cha ajabu kwa Lissu Nini hapo?CCM bado hawaamini kama NEC imempitisha Lissu, kweli lisu ni tiba kwa ugonjwa unaoitwa CCM
Sudani wako kama Libya,Endelea kuamini hivyo hivyo. Sudan miaka ya 90 walikuwa waoga hao, lakini muda ulifika wenyewe.
Subiri leo jioni watakuwa wamerejeshwa wangapi! Kenge nyie safari hii uhuni mwisho Chato!Wabunge 22 tayari wamewaponyoka!
Hivi huyo Lisu atashindia kipi na wapi?
Ati mtanzania haweziiiii..... Wale wamaocommit suicide kwa kutendwa na wapenzi wao sio watanzania?Duh! Sijaona Mtanzania wa kujifunga bomu afe nalo (suicide bomber) ila pale Tripoli wapo lukuki. Watu wengi wanadhani utulivu na Amani ya nchi hii vinaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama. LA ASHA, ni hulka ya watanzania Kwa ujumla wao, Watz ni watu wastaarabu sana na sio watu wenye hulka za fujo na ukatili, ndio maana unakuta nchi za Scandinavia ambazo tunashabiana hupenda kutuunga mkono bila masharti tofauti na mataifa mengine.
Kwahiyo muda huu mko road mnakinukisha?Subiri leo jioni watakuwa wamerejeshwa wangapi! Kenge nyie safari hii uhuni mwisho Chato!
Swawa😂😂😂 Yani nyie bn..!
Sisi tunafuata taratibu. Nenda kawaambie wale wahuni waliopitishwa wa Ruangwa, Mtama na Morogoro mjini tayari majina yaliyoenguliwa yamerejeshwa. Kawaambie wajiandae na kampeni.Kwahiyo muda huu mko road mnakinukisha?
Imeisha hiyo kamanda..
Kumbe!wacha kupotisha, hii imebadilishw ajuzi, zamani wmenye uwezo wa kukuwekea pingaizi alikuwa ni Mgombea mwenzio au mwannchi yeyete tu,
sikuhizi wamebadilisha hakuna pingamizi zaidi ya hao watatu ni hivyo hivyo hata kw awabunge.
sikuhizi hakuna mwanachi kwenda mahakamni tena, anayepaswa kwenda ni wagombea wenzio tu kitu ambacho ni cha ovyo kabisa.
Inategemea ni nani aliyekatwa na kwa sababu zipi. Wananchi sio wajinga kiasi kwamba watumie nguvu zao kihoela holela tu.Kuna nguvu ya wananchi mzee haina cha tume wala mahakama.
Sawa Bashite msaidiziInategemea ni nani aliyekatwa na kwa sababu zipi. Wananchi sio wajinga kiasi kwamba watumie nguvu zao kihoela holela tu.
Duuh "final and conclusive" aisee! hapo sasa lolote laweza tokea kabla au mnamo saa kumi ya leo!! Mungu epusha kikombe hiki !
Kwahiyo NEC sio ya CCM tena kama mlivyokuwa mnalialia?CCM bado hawaamini kama NEC imempitisha Lissu, kweli lisu ni tiba kwa ugonjwa unaoitwa CCM
Hilo nyie kijani ndio mjibuKwahiyo NEC sio ya CCM tena kama mlivyokuwa mnalialia?
Ukiacha kujificha na kutukana nyuma ya keyboard ni hakuna kingine unachokiweza.Hata Libya ilianzia kwenye mitandao
39(7) haiko sawa kisheria. Huwezi kumpa nguvu zilizopitiliza kwamba maamuzi yake ni ya mwisho na kwamba hakuna Chombo kingine cha Kisheria wanaweza sikiliza pingamizi hilo.
Kuna nguvu ya wananchi mzee haina cha tume wala mahakama.
Sawa babaMh. Benard Membe jana kasema ambayo keshayaona kwenye chaguzi nchi za SADEC akiwa kama mwangalizi kwamba DALILI za utowekaji wa AMANI inahusisha nini. Hatutakiwi kukumbushwa. Haifai tuelekee kuzimu. Yafanyike yote ya kuepusha giza like. Hatutakiwi kujiuliza nini cha kufanya. Tunafahamu na tunajua. UPENDO kwa nchi yetu NI ZAIDI YA JITU LOLOTE PUMBAVU, au hata yete na genge lake kama ndivyo ilivyo. Nakiri, hapa hazungumzwi, hasengenywi MTU. Kama yapo ya kipumbavu messafe sent. Kama hakuna, TUMSHUKURU MUNGU na tuendeleze basi, UPENDO kwa Tanzania.
Ulitaka niingie kwenye screen? shame on youUkiacha kujificha na kutukana nyuma ya keyboard ni hakuna kingine unachokiweza.
Magufuli banaIt is better to give a strong man power than to give a weak man power.
For the weak are for more cruel, unforgiving, and tyrannical than the strong.
Weak men destroy everything.