Uchaguzi 2020 Sheria ya pingamizi ni hatari kuliko kukaguliwa fomu. Isome: yaani Mwenyekiti wa Tume anakuengua na huna pa kushitaki wala kukata rufaa

Uchaguzi 2020 Sheria ya pingamizi ni hatari kuliko kukaguliwa fomu. Isome: yaani Mwenyekiti wa Tume anakuengua na huna pa kushitaki wala kukata rufaa

Endelea kuamini hivyo hivyo. Sudan miaka ya 90 walikuwa waoga hao, lakini muda ulifika wenyewe.
Sudani wako kama Libya,
.
Alafu usilinganishe tawala za hayo mataifa na huu wetu. Ni mbingu na ardhi
 
Wabunge 22 tayari wamewaponyoka!

Hivi huyo Lisu atashindia kipi na wapi?
Subiri leo jioni watakuwa wamerejeshwa wangapi! Kenge nyie safari hii uhuni mwisho Chato!
 
Duh! Sijaona Mtanzania wa kujifunga bomu afe nalo (suicide bomber) ila pale Tripoli wapo lukuki. Watu wengi wanadhani utulivu na Amani ya nchi hii vinaletwa na vyombo vya ulinzi na usalama. LA ASHA, ni hulka ya watanzania Kwa ujumla wao, Watz ni watu wastaarabu sana na sio watu wenye hulka za fujo na ukatili, ndio maana unakuta nchi za Scandinavia ambazo tunashabiana hupenda kutuunga mkono bila masharti tofauti na mataifa mengine.
Ati mtanzania haweziiiii..... Wale wamaocommit suicide kwa kutendwa na wapenzi wao sio watanzania?
Imagine yule sasa awe na sababu za mapenzi sema anafanyia kwenye majukwaa. Japo behind the scene reason ni mapenzi. Sema c hajui kajakanya kayajaza kwenye mikutano yetu.
Anyhow huko hatuwez fikia maana Tanzania ni taifa huru
 
Hapo dawa ni kuanza kuchoma moto nyumba za wasimamizi wa uchaguzi na kuunda kundi la uasi moja matata
 
Kwahiyo muda huu mko road mnakinukisha?

Imeisha hiyo kamanda..
Sisi tunafuata taratibu. Nenda kawaambie wale wahuni waliopitishwa wa Ruangwa, Mtama na Morogoro mjini tayari majina yaliyoenguliwa yamerejeshwa. Kawaambie wajiandae na kampeni.
 
wacha kupotisha, hii imebadilishw ajuzi, zamani wmenye uwezo wa kukuwekea pingaizi alikuwa ni Mgombea mwenzio au mwannchi yeyete tu,
sikuhizi wamebadilisha hakuna pingamizi zaidi ya hao watatu ni hivyo hivyo hata kw awabunge.
sikuhizi hakuna mwanachi kwenda mahakamni tena, anayepaswa kwenda ni wagombea wenzio tu kitu ambacho ni cha ovyo kabisa.
Kumbe!
 
Kuna nguvu ya wananchi mzee haina cha tume wala mahakama.
Inategemea ni nani aliyekatwa na kwa sababu zipi. Wananchi sio wajinga kiasi kwamba watumie nguvu zao kihoela holela tu.
 
39(7) haiko sawa kisheria. Huwezi kumpa nguvu zilizopitiliza kwamba maamuzi yake ni ya mwisho na kwamba hakuna Chombo kingine cha Kisheria wanaweza sikiliza pingamizi hilo.

kwa Tanzania, hayo ni maamuzi ya Mahamaka Ya Rufaa ambako kwa kawaida mamuzi yao hufanywa na majaji ama 3, 5 au 7, na sio mmoja kama sheria inavyotulazimisha.

Kifungu hicho kinapashwa kipingwe kisheria Mahakamani, ila sheria iwe just and fair.
 
Kuna nguvu ya wananchi mzee haina cha tume wala mahakama.

Mh. Benard Membe jana kasema ambayo keshayaona kwenye chaguzi nchi za SADEC akiwa kama mwangalizi kwamba DALILI za utowekaji wa AMANI inahusisha nini. Hatutakiwi kukumbushwa. Haifai tuelekee kuzimu. Yafanyike yote ya kuepusha giza like. Hatutakiwi kujiuliza nini cha kufanya. Tunafahamu na tunajua. UPENDO kwa nchi yetu lazima u-uzidi u-PUMBAVU, hata na genge la u-PUMBAVU kama ndivyo ilivyo. Nakiri, hapa hazungumzwi, hasengenywi MTU. Kama yapo ya kipumbavu message sent. Kama hakuna, TUMSHUKURU MUNGU na tuendeleze basi, UPENDO kwa Tanzania.
 
Mh. Benard Membe jana kasema ambayo keshayaona kwenye chaguzi nchi za SADEC akiwa kama mwangalizi kwamba DALILI za utowekaji wa AMANI inahusisha nini. Hatutakiwi kukumbushwa. Haifai tuelekee kuzimu. Yafanyike yote ya kuepusha giza like. Hatutakiwi kujiuliza nini cha kufanya. Tunafahamu na tunajua. UPENDO kwa nchi yetu NI ZAIDI YA JITU LOLOTE PUMBAVU, au hata yete na genge lake kama ndivyo ilivyo. Nakiri, hapa hazungumzwi, hasengenywi MTU. Kama yapo ya kipumbavu messafe sent. Kama hakuna, TUMSHUKURU MUNGU na tuendeleze basi, UPENDO kwa Tanzania.
Sawa baba
 
Back
Top Bottom