Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari JF siasa.
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Farao/ Firauni.
Sheria mpya ya uchaguzi itawasilishwa bungeni mapema November 2019 au February 2020. Lengo la sheria hii ni kuwabana wagombea urais waghaibu au diaspora ambao wanajipanga kuwania urais.
Sheria hii mpya ya uchaguzi itamtaka Mgombea Urais awe ameishi nchini Tanzania kwa miaka walau miwili mfululuzo hadi kufikia Mwezi August 2020 ili akidhi kigezo cha kupewa Fomu na NEC na hatimaye kugombea urais.
Chanzo changu nyeti serikalini kimeniambia mkakati huu umeiva na nitege sikio Bungeni November 2019 au February 2020.
Mimi nilimkatalia katakata lakini kasimama na msimamo wake.
Nilimuuliza je kama Mtaka urais kasafiri nje ya nchi siku moja au hata wiki mbili ndani ya hiyo miaka miwili itakuwaje?
Alijibu hili halina shida hata kidogo lakini ikiwa ni mwezi au miezi kadhaa basi hapo Mgombea atakosa sifa.
Yangu macho!!