Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No, ni diaspora wote ambao hawajui mazingira ya Tanzania vizurihehe target ni Lissu, hujakaa sawa unasikia na membe wamemchokonoa ili akatibiwe nje miezi, dikteta uchwara shida sana
No, ni diaspora wote ambao hawajui mazingira ya Tanzania vizuri
Umeongea vizuri sana, lakini kumbuka Membe hajaishi nje ya nchi muda hata wa mwezi.Kukaa nje mwezi hakuzuii kuijua Tanzania vizuri, mtu anayeishi nje mwezi sio diaspora, huyo kaenda kutembea tu kama tourist na kurudi. Hii sheria ni ha kipuuzi, wangesema aliyekaa nje mwaka ningeelewa ila sio uhoro wanaoutoa, timeframe ipi inatumika kudefine mfululizo? Na kwa nini wanatunga sheria ya tatizo ambalo halijawahi kuwepo? Matatizo mengi yapo wangeyafikiria wanakaa kufikiria solution ya kitu ambacho hakipo?
Target hapa ni very obvious, lissu membe.
We unajua mazingira ya Tanzania vizuri kumzidi Lissu ambaye alikaa nje kutibiwa? Hapa wamepata gepu pia la kuondoa watu huko mbeleni kwenye kugombea, wakikuchukia wanakusababishia ili upate sababu ya kwenda nje muda mrefu, ukirudi unasikia umeondolewa coz umekaa nje mwezi na, hata kama sababu ni kupewa matibabu. Watu mmefumba macho sijui, huyu jiwe anachofanya soon mtasikia miaka ya urais imeongezwa anataka akae hadi afe, anaandaa mazingira vizuri sana
Tulia sasa uone game watakalolicheza, mwakani utashangaa mwenyewe, we huoni wanachomfanyia Erick sasa hivi? subiri uone wapinzani wa kufuli mwakani kitakachowapata, loopholes zote watatumia ikishindikana nguvu itatumika. Chato akiamua ameamuaUmeongea vizuri sana, lakini kumbuka Membe hajaishi nje ya nchi muda hata wa mwezi.
Gogo ndo nini muzee?Itafika hatua mtu akikata sana gogo haruhusiwi kugombea uenyekiti wa ulinzi shirikishi_Yajayo yanafurahisha zaidi in vodacom voice
Asije zidisha miakaTulia sasa uone game watakalolicheza, mwakani utashangaa mwenyewe, we huoni wanachomfanyia Erick sasa hivi? subiri uone wapinzani wa kufuli mwakani kitakachowapata, loopholes zote watatumia ikishindikana nguvu itatumika. Chato akiamua ameamua