darisoo
Senior Member
- Mar 21, 2019
- 137
- 134
nanusa harufu ya vuruga,hili halitawezakanaOoH Lord Give Mr Lissu Strength.
Bado Lissu anaogopwa kiasi hiki??
Hahahahahaaa.
Jamani anaumwa tu hakusafiri kula bata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nanusa harufu ya vuruga,hili halitawezakanaOoH Lord Give Mr Lissu Strength.
Bado Lissu anaogopwa kiasi hiki??
Hahahahahaaa.
Jamani anaumwa tu hakusafiri kula bata.
Mbona ya HSLB ilirudi nyuma?Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Stupid lawsKama ni kweli hiyo siyo mammbo ya Frauni! Nchi nyingi duniani kuna sheria kama hiyo na hata kupiga kura. Let us not transmit our ignorance to the society.
Hapa msisitizo ni kuwa ugonjwa uzingatiwe. Kama mtu kaenda kwa matibabu je sheria ikoje?Sasa ww unaona ni haki kutaka urais huku upo nje ya nchi unayotaka kugombea urais?tutajuaje ww kweli umekunywa bendera yetu au umekunywa bendera ya mabeberu.Acheni unafki wakati mnaelewe sana ila mnafumba macho eti kwa sababu mnamchukia JPM.
Subiri ipitishwe hii thread itafufuliwaHii habari ni ya uongo 100%
WanajutaJe [emoji23][emoji1787]. Ushirika na kinyonga !! Lazima abadili rangiDuh, kumbe Masaki One imeshatema.
Hata Nape alifurahia kuleta muswaada wa sheria kandamizi ya habari .Miaka miwili ni kitu gani jamani,mbona haitoshi kwa mtu anayetaka kugombea urais kujua matatizo ya Watanzania kwa undani?Kwa nini isiwe kwamba ni lazima awe anaishi Tanzania?Hii kitu inaweza kututokea puani.Watu ambao wameshaishi nje mara nyingi wanakuwa vibaraka wa mabeberu.Kwa nini tunashindwa kuelewa kwamba mtu aliyeikimbia nchi yake kwa sababu yeyote ile, hawezi kuwa mzalendo wa kweli.Tunataka kumfurahisha nani kwa kulegeza masharti kiasi hicho?
Usiombe iwe hivyo,ni moja ya sheria mbaya kabisa kama itawekwa.Hii sheria inaweza kuwa nzuri kama itakuwa haina lengo ovu. Hata mimi sioni ni vizuri mtu aliyekuwa anaishi nje ya nchi kwa miaka miwili arudi kugombea. Ila tuwe na tahadhari, kusafiri kusiwe kikwazo na hata kukaa muda mrefu kwa ajili ya matibabu isiwe kikwazo. Na tusiishie kwenye urais tu bali kwangu mimi ubunge ndiyo muhimu zaidi. Tuweke sheria kuwa mbunge ni lazima awe mkazi wa kudumu wa jimbo lake na asiwe anaishi sehemu nyingine. Familia yake pia iwe inaishi kwenye jimbo analoliwakilisha.
Kwa kweli!Si kwa uoga huu.Sasa mbona tunaambiwa yeye ndo kafanya maendeleo hakuna wa kufanana naye tangu kuumbwa kwa ulimwengu?Wazo langu vyama vya upizani wange organize tu awamu hii ya uchaguzi waache tu kusimamisha wagombea urais na ikibidi chaguzi zote wasishiriki ili afurahi kwa kwenda mbele.
Katoa taarifa yyte Kwa mwajili wake? Kama ametoa Kwa nin amefukuzwa kazi....Hapa msisitizo ni kuwa ugonjwa uzingatiwe. Kama mtu kaenda kwa matibabu je sheria ikoje?
Siwezi kushangilia sheria ambayo hatimaye inaweza kuliingiza taifa katika matatizo makubwa.It is not about money for an individual,it is about a bright future for our nation.Hata Nape alifurahia kuleta muswaada wa sheria kandamizi ya habari .
Muulize leo maoni yake. Huku anadukuliwa mawasiliano yake.
Hivyo hata wewe shangilia hujui mwanao kesho atakuwa wa mrengo gani ?!
Majibu mazuri wanayo hawa hapa
View attachment 1171527
Mr polepole kiti ulichonacho alikuwa nacho kingunge, Nape nk. Leo wananyoshewa bunduki na hata bungeni akisema hawamuelewi. So hata kwako ni swala la muda.Katoa taarifa yyte Kwa mwajili wake? Kama ametoa Kwa nin amefukuzwa kazi....
Ni mpumbavu tu,, si anaaminisha watu kwamba alishinda kwa kura za wananchi?Jinsi kura mil 3 unusu alizopata mtu zinavyomuumiza kichwa
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Mzee umeisahau sheria ya HELSB.? Walivyotunga sheria kuongeza asilimia za marejesho ambazo ziliwabana hata walioomba mkopo kabla ya hiyo sheria
Ni kweli sheria huwa mara nyingi haiact retrospectively Ila haimaanishi kuwa inashindikana!!.