Sheria ya uvutaji sigara hadharani Tanzania kwanini imepuuzwa?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Heri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu
Tuende kwenye mada
Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi.
Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani .kuna siku mtu atatunyea kichwani.
Ipo siku nitamuwasha mtu mguu WA kuku WA tako .mko hapa .pls msave hii
 
kama matumiz ya kodi zetu yanapuuzwa .. unategemea nin kwa wavutaji sigara?
 
Heri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu
Tuende kwenye mada
Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi.
Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani .kuna siku mtu atatunyea kichwani.
Ipo siku nitamuwasha mtu mguu WA kuku WA tako .mko hapa .pls msave hii
Leo wana jamiiforums wote ni wakristo...🤣
 
Kiuhalisia hii hali inaboa sana.

Starehe ya mtu mmoja isiwe changamoto kwa watu wengine....

Sina tatizo na wavuta sigara ila wawe wastaarabu...

Wengi wanazingua big time, popote tu mtu anawasha sigara yake...

It's disgusting.
 
Inakera balaa.yaani hii tabia imekuwa kawaida yaani
 
Anayesimamia sheria mwenyewe mvutaji

Jiulize,lory la mafuta lidondoke polisi Nae anashiriki kuiba mafuta bila chembe ya haya
 
Kwangu mimi bora moshi wa sigara kuliko moshi wa magari na mikelele ya pikipiki. Ila vyote havifai
 
Back
Top Bottom