Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Leo wana jamiiforums wote ni wakristo...๐คฃHeri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu
Tuende kwenye mada
Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi.
Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani .kuna siku mtu atatunyea kichwani.
Ipo siku nitamuwasha mtu mguu WA kuku WA tako .mko hapa .pls msave hii
Kwa Leo .pilau Tu hata bubuMiss Natafuta unatafuta nini?
Unashangaa mtu anapita mbele yako kama gari Moshi yaani .anakupulizia tukama matumiz ya kodi zetu yanapuuzwa .. unategemea nin kwa wavutaji sigara?
Aaah sawa nikajua mchumba ungekua umeshapataKwa Leo .pilau Tu hata bubu
sasa mbona kodi zilipeleka wasanii korea lakin iliisha tuUnashangaa mtu anapita mbele yako kama gari Moshi yaani .anakupulizia tu
Inakera balaa.yaani hii tabia imekuwa kawaida yaaniKiuhalisia hii hali inaboa sana.
Starehe ya mtu mmoja isiwe changamoto kwa watu wengine....
Sina tatizo na wavuta sigara ila wawe wastaarabu...
Wengi wanazingua big time, popote tu mtu anawasha sigara yake...
It's disgusting.
Itakuwa mvutaji weweMnataka kuwasumbua walipa Kodi wa muda wote
Mchangia Kodi wa muda woteItakuwa mvutaji wewe
Ahaaaa Acha Tu .yaani mambo ni bila bilaLeo wana jamiiforums wote ni wakristo...๐คฃ
Unavuta sigara barabarani kweliUlitaka wavute sehemu gani mkuu๐๐๐