Sheria za CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu?

Sheria za CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu?

Mlishindwa nini kuwafunga 7, 0 kwa Mkapa? Acheni kutafuta huruma mitandaoni. Vinginevyo mwambieni KISINDA aliibe akimbie nalo awaletee.
 
Tatizo la kuangalia mechi kwa kushtukiza

Hebu tizama mechi kati ya al ahly na wydad kesho huko Cairo utajionea mengi

Tatizo la kuvamia mpira ukubwani

Kosa la USM Alger ni nini kwani?
Washabiki wao wamewasha lasers ilihali Yanga walipigwa faini Kwa kufanya hivyo, wamewasha mafataki Hadi Mpira unasimama. Waliwasha mafataki karibia usiku kucha ktk hotel walofikia Yanga.
 
Unaonekana wewe ndo umevamia mpira ukubwani au labda huelewi! Sawa, hata hao Al Ahly na Wydad watapiga mafataki kwa fujo zote lakini je, na wenyewe wataadhibiwa kama ambavyo Yanga waliadhibiwa au hizo adhabu ni kwa wengine tu?!
Wydad waliadhibiwa mechi ya kwanza na simba walipogwa faini

Esperance mechi ya nusu fainali dhidi ya Al ahly walicheza bila mashabiki walifungiwa

Ndio maana nakuambia umevamia kuangalia mechi za CAF ukubwani kisa tu yanga kaingia fainali ungekuwa hujavamia yote haya ungeyafahamu.

Acha mihemuko ya kushindwa
 
Yale mataa ya kumulika mulika kama uko kwenye show ya akudo yalikuwa yanatafuta nini uwanjani?

Harafu unakuta jitu liko hapa na kikwapa chake cha bungo bichi anareta fyoko fyoko
Moshi mkuu mpaka mpira kusimama.
 
Nafahamu maumivu uliyo nayo yaani unashinda halafu kombe anapewa mwingine ..mwarabu kweli noma

Mataa yalitufanya tusipindue meza[emoji3][emoji3]
Mkuu tuseme kuacha mataa hukuona mpira ukiwa unasimama sababu ya giza la moshi.Na kwanini ni viwanja vya kiarabu tu.
 
Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
Hamkuwahi kuwashangilia?
 
Sawa kabisa, yaani ni aibu sana Kwa CAF, mpira unasimamishwa dakika kadhaa kisa Moshi ni HATARI sana.

Ukiona kiongozi kaingia Kwa RUSHWA anakuwa hananguvu na maamuzi magumu dhidi ya watoa RUSHWA, ndio maana CAF hawadhubutu kuwagusa waarabu Kwa sababu wanapata donge nono Toka kwao.
Kwa kweli mie jana nilipigwa butwaa, waarabu wanafanya upumbavu wazi wazi na viongozi wanashuhudia, nategemea kuona team ile ikipewa adhabu kulingana na matukio ya utovu wa nidhamu kwa mashabiki wao.
 
Kwa kweli waarabu wananyanyasa watu weusi kupita kiasi. kila siku mabingwa wao. Poleni sana
 
Kosa ni kwa nn hawakuwachia yanga wachukue kombe
 
Achana na Hawa walalamishi mkuu, Kwani Kuna Nini kisicho Cha uanamichezo walichofanya Hawa waarabu? Au walitaka waarabu wajifunge Gori la pili Ili kuwaridhisha hawa utopolo?
Kwann Yanga walipigwa faini na CAF juzi.
 
Hao CAF wanafanyakazi kama wale wanaoitwa POLISICCM.
Upande mmoja ukifanya kosa wanasema hawafanyi kazi mtandaoni wala kwenye magazeti mpaka waripotiwe rasmi na mlalamaji LAKINI upande kwengine kule hawasubiri kulalamikiwa wanakwambia Intelen jisia yao imegundua.
Kwahiyo tuwazoee tu.
 
Back
Top Bottom