mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Mlishindwa nini kuwafunga 7, 0 kwa Mkapa? Acheni kutafuta huruma mitandaoni. Vinginevyo mwambieni KISINDA aliibe akimbie nalo awaletee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washabiki wao wamewasha lasers ilihali Yanga walipigwa faini Kwa kufanya hivyo, wamewasha mafataki Hadi Mpira unasimama. Waliwasha mafataki karibia usiku kucha ktk hotel walofikia Yanga.Tatizo la kuangalia mechi kwa kushtukiza
Hebu tizama mechi kati ya al ahly na wydad kesho huko Cairo utajionea mengi
Tatizo la kuvamia mpira ukubwani
Kosa la USM Alger ni nini kwani?
Wydad waliadhibiwa mechi ya kwanza na simba walipogwa fainiUnaonekana wewe ndo umevamia mpira ukubwani au labda huelewi! Sawa, hata hao Al Ahly na Wydad watapiga mafataki kwa fujo zote lakini je, na wenyewe wataadhibiwa kama ambavyo Yanga waliadhibiwa au hizo adhabu ni kwa wengine tu?!
Moshi mkuu mpaka mpira kusimama.Yale mataa ya kumulika mulika kama uko kwenye show ya akudo yalikuwa yanatafuta nini uwanjani?
Harafu unakuta jitu liko hapa na kikwapa chake cha bungo bichi anareta fyoko fyoko
Mkuu tuseme kuacha mataa hukuona mpira ukiwa unasimama sababu ya giza la moshi.Na kwanini ni viwanja vya kiarabu tu.Nafahamu maumivu uliyo nayo yaani unashinda halafu kombe anapewa mwingine ..mwarabu kweli noma
Mataa yalitufanya tusipindue meza[emoji3][emoji3]
Hamkuwahi kuwashangilia?Makolo Madunduka Maandazi yanawashangilia waume zao Waarabu... Mpumbavu ni mpumbavu tuuu...
Mwanaume kumshangilia muarabu maana yake unaweza hata kushika ukuta ukaliwa tigo...
Kwa kweli mie jana nilipigwa butwaa, waarabu wanafanya upumbavu wazi wazi na viongozi wanashuhudia, nategemea kuona team ile ikipewa adhabu kulingana na matukio ya utovu wa nidhamu kwa mashabiki wao.Sawa kabisa, yaani ni aibu sana Kwa CAF, mpira unasimamishwa dakika kadhaa kisa Moshi ni HATARI sana.
Ukiona kiongozi kaingia Kwa RUSHWA anakuwa hananguvu na maamuzi magumu dhidi ya watoa RUSHWA, ndio maana CAF hawadhubutu kuwagusa waarabu Kwa sababu wanapata donge nono Toka kwao.
Wamechukua taji la shirikisho afrikaWamefanyaje mkuu?
Kwann Yanga walipigwa faini na CAF juzi.Achana na Hawa walalamishi mkuu, Kwani Kuna Nini kisicho Cha uanamichezo walichofanya Hawa waarabu? Au walitaka waarabu wajifunge Gori la pili Ili kuwaridhisha hawa utopolo?