Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa.
Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani kwa kutumia software za siku hizi na internet.
Sasa je unalipaje kodi? Ni kodi zipi hizo? Na ni vitu gani ambayo ni lazima ufanye. Vilevile ni kitengo gani cha serikali unachotakiwa kukitumia?
Maana nipo hapa US naona pesa zinaenda sana India wakati na sisi tuna vijana ambao wanaweza kufanya hizi kazi.