Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
yani ashasikia baa kuna dini wala unafiki kama ulivyo kanisani na misikitini hukoMjadala utakuwa mkali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani ashasikia baa kuna dini wala unafiki kama ulivyo kanisani na misikitini hukoMjadala utakuwa mkali sana.
Je,tuishie kuwalaumu tu bila kuwataka wawajibike?Ukimya ni kumpa jeuri mjinga.Waambiwe.Tena waambiwe kwa sauti ya kimamlaka ili wachukue hatua zinazofaa.Tukibembelezana tutaishia kukonda kwa sonona.Watu wa mipango miji wao wanachojua ni kusubiri mishahara,semina,warsha,hafla na tafrija lakini suala la kufuatilia mambo ya ujenzi mtaani hawataki wakati ramani za mitaa wanazo. Kiukweli nyumba za ibada zinatakiwa zitengewe maeneo yake maalumu na ibada inahitaji utulivu,sasa unakuta mtaa una makelele ya bodaboda,baa,sherehe,yaani kero tupu. Pia sehemu za starehe zinatakiwa nazo zitengewe maeneo maalumu. Lakini haya yote yanasababishwa na wabunge na madiwani wao kwa kutowasimamia ipasavyo watendaji wa Serikali. Mwisho,siku hizi kuna SOUND PROOF kwa nini watu wasifunge ili kuzuia kelele kutoka nje..Naupongeza sana msikiti wa Taqwa Ilala Bungoni pamoja na ule wa pale karibu na Uwanja wa Uhuru,wao utasikia adhana tu kisha mambo mengine yanasikika ndani ya nyumba ya ibada tu nje huku husikii vile vipaza sauti..
Binafsi kwa sasa sina hili tatizo ila namuelewa mleta mada sababu miaka kadhaa nyuma lilishawahi nikuta.Tatizo mnanyamaza tu.Watu wanafanya air pollution mnawaangalia.
Ila,mimi bia zikinikolea huwa napiga ishara ya msalaba kujibariki nisipotee nyumbani.yani ashasikia baa kuna dini wala unafiki kama ulivyo kanisani na misikitini huko
hapo umenena kweliIla,mimi bia zikinikolea huwa napiga ishara ya msalaba kujibariki nisipotee nyumbani.